Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

Kuna Baba mtu mzima huko Dsm nilimwamkia akaitikia "Abee" huku akiangalia chini kwa aibu... nikaenda kutubu parokiani kwa niaba yake🀣🀣🀣🀣
 
Itakuwa kama usipojua maana yake lazm uone imekaa kiduwanzi
Mleta Mada pia ameshindwa jua kuwa LOL, Lmao ni vipupisho vinavyotumila kwenye chatting sio kwenye maongezi ya uso kwa Uso mdoma kwa mdomo. Ile LOOh!! Ndo ipo kwenye maongezi
 
Kuna Baba mtu mzima huko Dsm nilimwamkia akaitikia "Abee" huku akiangalia chini kwa aibu... nikaenda kutubu parokiani kwa niaba yake🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…