Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

Toa MAn U hapo, Kipindi Inter na AC wanatawala Soka la Ulaya Miaka ya 60 Man U naye yupo same level AC anabeba 63, Inter 65 man U 66 etc. Unless hujui Kizazi cha kina Charlton.
Man u nae unamuweka kwenye wababe wa ulaya mbona unaleta vichekesho
 
Man u nae unamuweka kwenye wababe wa ulaya mbona unaleta vichekesho
Kwanini asiwepo? Kizazi cha kina Charlton kime dominate sana miaka ya 60, mpaka leo Uingereza ana Kombe moja tu la Dunia Asante Kizazi cha kina Charlton na Ulaya pia wamebeba. Inter na Man U makombe sawa ya UCL, Inter ana kigezo gani cha ukongwe ambacho Man U hana?
 
Acha habari zako mbabe wa ulaya kutoka uingereza ni Liverpool tu hamna mwingine man u kilaza mbabe wa ulaya lazima uwe na makombe 5 kwenda mbele
 
Kizazi chetu ,sisi huwezi nishawishi eti ,nisishangilie ACMilano,Juventus ,Liverpool ,real Madrid , intermilano kwahiyo dogo mashibiki tupo

Mliozakiwa yanga inaanza kushiriki club bingwa afrika 2000 kwenu ni changamoto sana
 
Back
Top Bottom