Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Dini inatumiwa na wahusika kujitajirisha, sisi ni ng'ombe, wanywa maziwa ndio wale walioleta dini, wanatunyonya mpaka hatujielewi, tuamke, hakuna cha ukristo wala uislamu, madini yote haya ni kwa ajili muwapelekee mapeni tu, kuanzia hijja za Mecca mpaka Jerusalem, tena mmesikia, Wayahudi wanataka kodi zao kwenye hizo site mnazoenda kuhiji, makanisa yaja juu!
Pesa ndio dini ya waliowaletea hizo imani, wanajuwa mtanunua biblia, wanajuwa mtanunuwa koran, wanajuwa mtaenda hiji wanajuwa imani hizo ndizo zitakazowasambaratisha waafrika msielewane, ili waendelee kuwanyonya kisawasawa...
 
you're talking nonsense brother
unajua nini maana ya Religion?
naona unauliza swali badala ya kujibu swali
halafu usianze matsi kama unataka nikutoe kwenye shimo la upuuzi unaouita dini
ukiwa mpole nitakupa nondo za maana
sasa jibu swali nililokuuliza
 
Sema hizo zinanitisha.sikui hiyo sipati jib
 
Hujalazimishwa kuamini kua yesu mwana wa Mungu,pili pia hata sisi Mungu tunamwita baba.ina maana katuzaa? Ila katuumba yeye,hivyosisi ni watoto wake.na Mungu hakumzaa yesu isipokua kamteua na kumvalisha taji awe kiongozi wetu.acha ushabiki wa kimburula
 
We kido umeongea point kubwa ndungu
 
Jibu langu ni Hilo
Nimecheka sana nilipoisoma hii, kuanza leo ninaivua minyororo waliyoniridhisha wazazi wangu na nikaikubali bila kujiuliza, iwapo hao wazungu wenyewe waliotuletea hizi dini wameamua kuachana nazo, vipi sisi tulioletewa na kulazimishwa kuziamini kwa nguvu, ndiyo tunaojifanya washika dini zaidi yao?.
 
Barikiwa sana ndugu.tupo sawa kiimani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kakwambia nani,wapi mungu alisema wamtafute kwa kutumia dini?
We kishombi acha kupanic,mwenzio anakuuliza vizuri unaongea ovyo.ok kama una mwamini Mungu vizuri ila kumbuka imani bila matendo imekufa! Kama matendo yako yanaendana na imani basi barikiwa.ila kama mpuuzi basi ngojea adhabu yako
 
Inasemekana Yesu hakja kwa habari ya dini Bali kukomboa waliopotea(wasioijua kweli ya Mungu)! Cha msingi mm naona ni kuamini Mungu yupo na siyo kuziamini dini!!!
 
Dooh! hilo dhehebu la jeshi nini?
 
Na siku mkisema Tanzania itafuata dini yake ya kuabudu mizimu na jua sikiliza mziki wake, kilichowatokea kina Saadam, Qaddafi, Lumumba na kina Sankara cha mtoto!
Zitapaki meli kubwa kwenye bandari zenu hamjawahi kuziona..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…