Kundebyabernad
Member
- Dec 17, 2017
- 29
- 29
Tafuta ile njia nyembamba waipitayo wachache. Yesu ndo njia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je! Ni kweli muanzilishi wenu Ellen G White alipinga Utatu Mtakatifu...??
Je! Ni kweli Ellen G White alimsingizia Yesu amejibanza kwenye uchochoro mbinguni(patakatifu pa patakatifu) akimpeleleza mwanadamu...? ( Investigative judgement)
Je! Ni kweli Bi Ellena na kundi lake walitabiri ujio wa Yesu mnamo mwaka 1843..???
Ungijkita kujibu maswali niliyokuuliza...Punguza mbwembwe Ukristo siyo akili yako inawaza na mdomo kuongea hama
Ungijkita kujibu maswali niliyokuuliza......sasa jiongeze na wewe
Afadhali ya wewe umemwaga nondo, wengine majibu yao yako kiimani imani kama kawaida ya wabongo, kuamini tu bila kuuliza au kutafakari..majebsmafuru dini zote ni cultural expressions of Spirituality.
Wengi wanawarubuni watu kuwavutia kwao, hata katika dini moja.
Mifano ya Waislam:
[emoji830]Sunni
[emoji830]Takfir Sunni
[emoji830]Wahabism, similar to takfir Sunni
[emoji830]Followers of teachings of Imam Bhuhari
[emoji830]Sufi
[emoji830]Shia and branches of Shia
Sasa hivi vita vya 3 vya dunia vinaweza kuletwa na tofauti kati ya:
[emoji830]Vinara wa SUNNI ISLAM (Saudi Arabia wakiungwa mkono na Marekani, Israel, na Sunni world) na
[emoji830]Vinara wa SHIA ISLAM (Iran, Urusi, na Shia world)
Hakuna machafuko yoyote duniani yenye vyanzo kutokana na tofauti kati ya madhehebu ya UKRISTU.
Watoto wanaokua brainwashed na wazazi na dini zinazofuatwa na wazazi wao ndio chimbuko la migongano hii mikubwa ya kidini.
DECOUPLE YOUR CHILDREN FROM ORGANIZED RELIGIONS.
You are welcome to be Agnostic like me.
Mungu umtafute ukiwa hai sio unasubili ukifa ndio unataka kuzikwa kwa heshima na taratibu za kidini ukikataliwa unasema umetengwa au ulishajitenga.Kwa kweli hatujuwi tunapokwenda na hizi Imani, hata watoto wangu wasipoenda Kanisani wala siwaki kama zamani, maana wanapoona vituko vya hao manabii, hasa yule aliyezaa na binti wa shule (twice)! Kutengwa kwa wakatoliki na hata kukataliwa kuzikwa kiimani, kisa jumuiya na dhihaka kama hizi za kubeba masilaha ya kivita huwa nakosa majibu, kwa kweli Wakristo tunapitia wakati mgumu sana na Imani zetu..
Hii dini inayofanya matangazo ya biashara ndiyo ya mpinga Kristo. Dini ya kweli imeandikwa Yakobo 1:26-27.Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.
THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY![]()
![]()
Hayo yote yanafanywa na kanisa la kiadventista wasabato na ndo maana wao wana program huwa zina itwa MATENDO YA HURUMA na mwezi huu wa tatu inaanza tarehe 17-24,karibu sana ndugu yangu tufanye kile ambacho bwana katuagizaHii dini inayofanya matangazo ya biashara ndiyo ya mpinga Kristo. Dini ya kweli imeandikwa Yakobo 1:26-27.
MSAADA TAFADHALI NI DINI GANI HIYO YA UKWELI NA MIMI MAITAJI KUIFUATA PIAmimi najua dini moja tu ya kweli zingine zote ni za uongo zinajojiita za kikristo + za kisalamu.
zote kwa pamoja zinaitwa babilon mkubwa zote zitapata pigo moja hivi karibun
Kuliko kuwa msabato bora niende jehanam.Hayo yote yanafanywa na kanisa la kiadventista wasabato na ndo maana wao wana program huwa zina itwa MATENDO YA HURUMA na mwezi huu wa tatu inaanza tarehe 17-24,karibu sana ndugu yangu tufanye kile ambacho bwana katuagiza
Cc wafia dini woteDini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.
THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY![]()
![]()
Duh...hii kali.Kuliko kuwa msabato bora niende jehanam.
Ni hatima tu,Cc wafia dini wote