Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

NILICHOANDIKA KUHUSU WEWE NDICHO ULIPASWA KUJIBU KWANZA.

Tatizo ulilo nalo ni kuwa bado hujajijua who're you Otorong'ong'o siku ukijitambua on that day you will get know heaven system.

Punguza mbwembwe Ukristo siyo akili yako inawaza na mdomo kuongea hama mkono kuandika.
Je! Ni kweli muanzilishi wenu Ellen G White alipinga Utatu Mtakatifu...??

Je! Ni kweli Ellen G White alimsingizia Yesu amejibanza kwenye uchochoro mbinguni(patakatifu pa patakatifu) akimpeleleza mwanadamu...? ( Investigative judgement)

Je! Ni kweli Bi Ellena na kundi lake walitabiri ujio wa Yesu mnamo mwaka 1843..???
 
Punguza mbwembwe Ukristo siyo akili yako inawaza na mdomo kuongea hama
Ungijkita kujibu maswali niliyokuuliza...


Endelea kujiuliza..

Fundamentals belives za SDA mpaka mwaka 2005 zilikuwa 25....imeongezwa moja...unajua kwanini imeongezwa....???


Moja ya xtics ya cult ni kubadili doctrine zake au kuongeza....sasa jiongeze na wewe
 
hiyo michango unayoiona haifai ndo imejenga shule,hospitali na vyuo ambapo bila ubaguzi mna nufaika na huduma hizo.....kuwa na shukarani kidogo,nyie endeleeni kununua malori,sisi tutaendelea kuchanhishana na kujenga shule,vyuo na hospitali.
 
Binadamu bwana,badala mjiulize wale wanaoenda kuzitumia hizo silaha huko kwenye majumba ya ibada na kuuwa maelfu kwa mamia mnahoji hawa waliozishika mikononi?
 
Usiwe na wasi wasi Ukristo ni dini ya ukweli. Vituko vya watu visi kusumbue.
 
majebsmafuru dini zote ni cultural expressions of Spirituality.

Wengi wanawarubuni watu kuwavutia kwao, hata katika dini moja.

Mifano ya Waislam:
[emoji830]Sunni
[emoji830]Takfir Sunni
[emoji830]Wahabism, similar to takfir Sunni
[emoji830]Followers of teachings of Imam Bhuhari
[emoji830]Sufi
[emoji830]Shia and branches of Shia

Sasa hivi vita vya 3 vya dunia vinaweza kuletwa na tofauti kati ya:
[emoji830]Vinara wa SUNNI ISLAM (Saudi Arabia wakiungwa mkono na Marekani, Israel, na Sunni world) na
[emoji830]Vinara wa SHIA ISLAM (Iran, Urusi, na Shia world)

Hakuna machafuko yoyote duniani yenye vyanzo kutokana na tofauti kati ya madhehebu ya UKRISTU.


Watoto wanaokua brainwashed na wazazi na dini zinazofuatwa na wazazi wao ndio chimbuko la migongano hii mikubwa ya kidini.

DECOUPLE YOUR CHILDREN FROM ORGANIZED RELIGIONS.

You are welcome to be Agnostic like me.
Afadhali ya wewe umemwaga nondo, wengine majibu yao yako kiimani imani kama kawaida ya wabongo, kuamini tu bila kuuliza au kutafakari..
 
nini maana ya 'dini ya kweli' kwako?
 
Kwa kweli hatujuwi tunapokwenda na hizi Imani, hata watoto wangu wasipoenda Kanisani wala siwaki kama zamani, maana wanapoona vituko vya hao manabii, hasa yule aliyezaa na binti wa shule (twice)! Kutengwa kwa wakatoliki na hata kukataliwa kuzikwa kiimani, kisa jumuiya na dhihaka kama hizi za kubeba masilaha ya kivita huwa nakosa majibu, kwa kweli Wakristo tunapitia wakati mgumu sana na Imani zetu..
Mungu umtafute ukiwa hai sio unasubili ukifa ndio unataka kuzikwa kwa heshima na taratibu za kidini ukikataliwa unasema umetengwa au ulishajitenga.

yawezeka hao wanaobeba siraha wanajihami na magaidi wa kislamu. maana hayakawii kuingia na kuwalipua wote lazima wajihami. na ulinzi makanisani haujaanza leo tangu enzi na enzi. walinzi waliitwa Watu wa malinzi ya Bwana. soma vizuri biblia utayakuta hayo.
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
Hii dini inayofanya matangazo ya biashara ndiyo ya mpinga Kristo. Dini ya kweli imeandikwa Yakobo 1:26-27.
 
Hii dini inayofanya matangazo ya biashara ndiyo ya mpinga Kristo. Dini ya kweli imeandikwa Yakobo 1:26-27.
Hayo yote yanafanywa na kanisa la kiadventista wasabato na ndo maana wao wana program huwa zina itwa MATENDO YA HURUMA na mwezi huu wa tatu inaanza tarehe 17-24,karibu sana ndugu yangu tufanye kile ambacho bwana katuagiza
 
mimi najua dini moja tu ya kweli zingine zote ni za uongo zinajojiita za kikristo + za kisalamu.
zote kwa pamoja zinaitwa babilon mkubwa zote zitapata pigo moja hivi karibun
MSAADA TAFADHALI NI DINI GANI HIYO YA UKWELI NA MIMI MAITAJI KUIFUATA PIA
 
Hayo yote yanafanywa na kanisa la kiadventista wasabato na ndo maana wao wana program huwa zina itwa MATENDO YA HURUMA na mwezi huu wa tatu inaanza tarehe 17-24,karibu sana ndugu yangu tufanye kile ambacho bwana katuagiza
Kuliko kuwa msabato bora niende jehanam.
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
Cc wafia dini wote
 
Kuliko kuwa msabato bora niende jehanam.
Duh...hii kali.
Wewe inachotakiwa ni kuwa Mkristo yaani Mwanafunzi wa Yesu Kristo, usibabaike na Majina ya Madhehebu.
Ili uwe mwanafunzi wa Yesu unahitaji kuwa na sifa kuu tatu.

Sifa ya kwanza na ya pili zinapatikana katika Mathayo 28: 18-20
"Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani Nasi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi, na tazama, mimi nipo pamoja nanyi sikuzote, hata ukamilifu wa
dahari.

Note
1. Ubatizo
2. Kufanya yote aliyoagiza Yesu Kristo.

Sifa ya tatu inapatikana katika
Luka 16: 15-18
Akawambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe, Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini atahukumiwa,
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watesema kwa lugha mpya; ....wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya "

Note
1. Ishara
Ni kithibitisho cha kukubalika kwa wewe ni mwanafunzi mwaminifu wa Bwana Yesu Kristo.

Je wewe katika hiyo dini yako unayojidai nayo, kuna hizi sifa ambazo mwenye mamlaka ya dunia na mbingu amezibanisha ? Wewe binafsi una hizo sifa kabla hujamnyooshea kidole jirani yako ?

1. Umebatizwa kwa jina Lake ?
2. Unafuata maagizo ya Yesu Kristo ?
3. Ishara za Yesu zipo hapo ulipo ?

Kama huna hizo sifa zake, kujiita kwako, Mkorintho au Mkolosai, au Msabato, au Mrumi, au Mlokole, au Mmanyema ni sawa na bure.

Utakuwa umejiandikisha kwenye Dini, Ila huna Ushirika na Yesu Kristo.

Mimi kila siku najitahidi kusali kumwomba Kristo, ili anipe hizo sifa, na sio kujiita jina la dhehebu.
 
Cc wafia dini wote
Ni hatima tu,
Kama wengine wanaofia kwenye, Vita, Maandamano, Ukabila, Ulevi, Uhalifu, Umasikini, Ugomvi, Uzee, Ugonjwa, Ukame, Uhitaji, Uroho, Ufisadi, nk.
Hata Wewe Papo Utakapo Fia.
Panakuja.
 
Back
Top Bottom