Hivi huwa yana kazi gani?

 
Kwa kweli mavuz sjui yaliwekwa kwa makusudi gani
Hutoa ulinzi wa kimwili ''physical protection'' kwa sehemu za siri kutokana na msuguano na majeraha,husaidia kudhibiti hali joto kwa kutoa jasho na hufanya kama kizuwizi dhidi ya bacteria na viini vya magonjwa ''barrier against bacteria and pathogens''
Pia yana jukumu katika afya ya ngono kwa kunasa na kusambaza pheromenos ili kuvutia wenzi na kwa kutumika kama ishara ya kuona ukomavu wa uzazi ''visual signal of reproductive maturity''

Evelyn Salt
 
Sasa kazi yake ni nini yani kwanini yalikuwepo jamani, mi yananichosha mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…