Huyu umekutana naye kwenye ndege au daladala za kwampalange
Kwanini unatongoza mke wa mtu? halafu unamuuliza dau lake?Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.
Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
Unapandaje ndege halafu huna shilingi 35? Emu acheni basi hizi mambo wewe unapanda ndege huna 25 elfu mpaka ukatombwe? Acheni hizoKwanini unatongoza mke wa mtu? halafu unamuuliza dau lake?
Nyie wote ni wahuni wenye mambo ya hovyo sana ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
et "chukua tu hiyo 20 next time nitaongeza dau" kama jinga๐ ๐ ๐ ๐Huna lolote umepata gume gume la Badoo huko unataka kutupiga fix, mke wa mtu kakupa namba kwanini uanze kumuuliza dau lake na kuanza kushushana bei, unatuona sisi ma๐ yako, mxiiee
Acha wivu wa kikeNauli ya Ndege ni shingapi? Emu acheni basi kutuona sisi mafala tutawatukana hapa tuonekane wabaya ndege hio ilikua inaelekea wapi Buza au Kimara? Nyanda za juu kusini usafiri wa ndege nauli shingapi? Halafu wewe huwezi ukapanda ndege ukaanza kuongea huo ufala na malaya acha ujinga
kasugue braza mpka mtoke cheche๐คฃ si unataka sifaJinga na leo usiku naisugua hiyo papuchi kijana?
Ni lizezeta kabisa, linakuja na mikwara ya kupanda ndege ili aonekane wakishua, wakishua gani hana hata elfu 35, vijana wa JF bhana๐๐๐๐ปet "chukua tu hiyo 20 next time nitaongeza dau" kama jinga๐ ๐ ๐ ๐
Why should i care, umekua judged na screenshot uliyotuwekea, dume zima huna elfu 35 ushazoea wale wa mafungu pale Tandika eehUnajua tumeanzanaje boss?