adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Mkuu kyagata miaka ya nyuma alikuwa mchangiaji mzuri sana , anatoa madini kuntu na haandiki nyuzi za kiduwanzi kama kipindi hiki cha karibuni . Kwenye jukwaa la Elimu , ajira nk alikuwa mchangiaji mzuri .Ila Me wa Jf Mungu anawaona. Lol.
Sio bure lengo lenu ni kumkimbiza jamaa kwenye uzi wake. 😃
Baada ya kujipata siku hizi nyuzi zake zimekuwa za kipuuzi sana hana tofauti na Holoholo Melki Wamatukio Football na Chizi Maarifa