win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
kwanza matajiri huwa hawajitangazi kabisa, alf charting zinaonesha ni ndugu zetu wa afulela ulela😅😅😅 hebu atupumzishe tuko busyNi lizezeta kabisa, linakuja na mikwara ya kupanda ndege ili aonekane wakishua, wakishua gani hana hata elfu 35, vijana wa JF bhana😂😂🙌🏻