Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

MTU anaeweza lipa nauli ya 264k umtongoze Kwa 35k, inawezekana LAKINI sio ndege ni basi za arusha kuja dar zimeandikwa kiazi Cha bibi flight.
Happy Tracee Ellis Ross GIF by Uninterrupted.gif
 
Eeh kyagata huyo kidume cha mbegu, sukari wa wake za watu sawa sawa 👏🏾👏🏾
 
Huyo baamedi mlikutana bar.
Hakuna mke wa mtu anayepanda flight ya laki 2 na ushee oneway azijue lodge zote na mkaanza ku bargain 35 mpaka mkafikia 20.. shenzy weeh..!!
 
Ila hili la wadada kujiuza nalo linafikirisha sana. Ni tatizo la miaka nenda rudi. Sijui tutalitatuaje? Inakuaje ME anakua na 35k ya kununua mdada lakini KE hana namna nyingine ya kupata hiyo 35k mpaka kufikia kujiuza - na wote wanatoka jamii moja?
 
Huyo baamedi mlikutana bar.
Hakuna mke wa mtu anayepanda flight ya laki 2 na ushee oneway azijue lodge zote na mkaanza ku bargain 35 mpaka mkafikia 20.. shenzy weeh..!!
Jikite kwenye mada boss
 
Acheni ubishi, wake za watu siku hizi hujiparatisha kiholela kwa wanaume wengine wasio wao, ziko sababu nyingi zikiongozwa na tamaa ya kujipatia fedha kwa kutoa mpondodo
 
Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.

Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.

Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.

Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
IMG_20260310_153021.jpg
IMG_20260311_025025.jpg
 
Nilimwomba boss
Sorry Broh, ila kwakweli mimi huwa nashangaa sana watu ambao mnaleta humu scenario za Mamanzi ambao mmewafuata wenyewe, kwa mfano wewe namba ulimwomba mwenyewe then unakuja msema humu...What for?
 
Ndoa kweli ni wizi, utapeli, ujangili, mwanamke kujisafisha na kuonekana wa heshima...
Inatisha...
 
Back
Top Bottom