kwanza matajiri huwa hawajitangazi kabisa, alf charting zinaonesha ni ndugu zetu wa afulela ulelaπ π π hebu atupumzishe tuko busyNi lizezeta kabisa, linakuja na mikwara ya kupanda ndege ili aonekane wakishua, wakishua gani hana hata elfu 35, vijana wa JF bhanaππππ»
siku hizi kupata gono, kaswende au ukimwi ni rahis sana gentleman ndo kama hivyo yaaniSiko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.
Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
Kulikuwa tena na thread nyingine inasema wake za watu siku hizi ni warahisi kuliko ambao hawajaolewa. Iko hivi: wanawake wengi siku hizi, hasa makahaba, walioachika na ma-single mothers hupenda sana kusema ni wake za watu kwa sababu wanatafuta masoko ya chap chap. Wanajua wanaume wengi hudhani kuweza kutongoza na kulala na mke wa mtu ni jambo la kifahari na hawatabebeshwa mzigo mkubwa matumizi au utegemezi wa kutaka urafiki wa kuwa wote muda mwingi. Tena makahaba ndiyo kabisaa wanajua wanaume wakijua ni kahaba, hawatakuwa na ile midadi, watajua wanatembea na mtu ambaye nia yake ni fedha tu na hana hisia yoyote. Na walivyo wajanja watakuambia wewe ni fundi sana kitandani kuliko mumewe. Maweee! Kumbe ni li-kahaba lililozoea kulala na wanaume hata kumi kwa siku na lisihisi chochote.Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.
Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
Acha usenge uende mbinguniUnajua tumeanzanaje boss?
Awe makini haswa, maana huyo anaonekana muuzaji kiasiliSiku hizi watu huwa pia wanavaa Tu Pete kama urembo mwingine Tu....sema Yuko cheap Sana, 35K ndo inamfanya avue chupi, so cheap kaka be mindful...bth siku hizi kujua wake za watu ngumu Sana wengi ndoa zao zina matatizo mengi Sana.