Mkuu kyagata miaka ya nyuma alikuwa mchangiaji mzuri sana , anatoa madini kuntu na haandiki nyuzi za kiduwanzi kama kipindi hiki cha karibuni . Kwenye jukwaa la Elimu , ajira nk alikuwa mchangiaji mzuri .Ila Me wa Jf Mungu anawaona. Lol.
Sio bure lengo lenu ni kumkimbiza jamaa kwenye uzi wake. ๐
Mkuu kyagata miaka ya nyuma alikuwa mchangiaji mzuri anatoa madini kuntu na haandiki nyuzi za kiduwanzi kama kipindi hiki Cha karibuni , kwenye jukwaa la Elimu , ajira nk alikuwa mchangiaji mzuri .
Baada ya kujipata siku hizi nyuzi zake zimekuwa za kipuuzi sana hana tofauti na Holoholo Melki Wamatukio Football na Chizi Maarifa
Shangaa wee hapo, ๐๐๐๐Huyu umekutana naye kwenye ndege au daladala za kwampalange
๐๐๐๐Huna lolote umepata gume gume la Badoo huko unataka kutupiga fix, mke wa mtu kakupa namba kwanini uanze kumuuliza dau lake na kuanza kushushana bei, unatuona sisi ma๐ yako, mxiiee
๐๐๐Ni lizezeta kabisa, linakuja na mikwara ya kupanda ndege ili aonekane wakishua, wakishua gani hana hata elfu 35, vijana wa JF bhana๐๐๐๐ป
๐๐๐Kulikuwa tena na thread nyingine inasema wake za watu siku hizi ni warahisi kuliko ambao hawajaolewa. Iko hivi: wanawake wengi siku hizi, hasa makahaba, walioachika na ma-single mothers hupenda sana kusema ni wake za watu kwa sababu wanatafuta masoko ya chap chap. Wanajua wanaume wengi hudhani kuweza kutongoza na kulala na mke wa mtu ni jambo la kifahari na hawatabebeshwa mzigo mkubwa matumizi au utegemezi wa kutaka urafiki wa kuwa wote muda mwingi. Tena makahaba ndiyo kabisaa wanajua wanaume wakijua ni kahaba, hawatakuwa na ile midadi, watajua wanatembea na mtu ambaye nia yake ni fedha tu na hana hisia yoyote. Na walivyo wajanja watakuambia wewe ni fundi sana kitandani kuliko mumewe. Maweee! Kumbe ni li-kahaba lililozoea kulala na wanaume hata kumi kwa siku na lisihisi chochote.
๐๐๐Ila Me wa Jf Mungu anawaona. Lol.
Sio bure lengo lenu ni kumkimbiza jamaa kwenye uzi wake. ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Sasa wewe unataka kumtia wewe mtie tu acha maswaliSiko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.
Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
Sasa kama mlifanya mawasiliano kwa siri kwanini unayaweka hadharani? sio sawaSiko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.
Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
๐๐๐naaamHuyu umekutana naye kwenye ndege au daladala za kwampalange
Nashangaa sana ZILE mwebdokasi ni sawa na ndege Kwa daslamu anaotaHuyu umekutana naye kwenye ndege au daladala za kwampalange
Duh,Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.
Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
MTU anaeweza lipa nauli ya 264k umtongoze Kwa 35k, inawezekana LAKINI sio ndege ni basi za arusha kuja dar zimeandikwa kiazi Cha bibi flight.Kwanini unatongoza mke wa mtu? halafu unamuuliza dau lake?
View attachment 3556101
Nyie wote ni wahuni wenye mambo ya hovyo sana ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ ๐ mtu mwenyewe wa 25k, hata bure sipigi, raha ya pussy pesa ndefu ikutoke. Mwanamke bora anipe bure kuliko kuni charge hela kiduchu. Yaani anipe nure au ani charge hela ndefu ila sio 25k au 35kKwanini unatongoza mke wa mtu? halafu unamuuliza dau lake?
View attachment 3556101
Nyie wote ni wahuni wenye mambo ya hovyo sana ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ