Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Hivi kwanini mnaendekeza tabia za kununua wanawake?π π mtu mwenyewe wa 25k, hata bure sipigi, raha ya pussy pesa ndefu ikutoke. Mwanamke bora anipe bure kuliko kuni charge hela kiduchu. Yaani anipe nure au ani charge hela ndefu ila sio 25k au 35k
MTU anaeweza lipa nauli ya 264k umtongoze Kwa 35k, inawezekana LAKINI sio ndege ni basi za arusha kuja dar zimeandikwa kiazi Cha bibi flight.
Mie sinunui , nimetolea mfano tu. Kwanza nilivyo na kinyaa hapana kakweli. Ila siku hizi wanawake wana demand ya pesa kwasababu wanaume wamekuwa wachoyo na hawataki kuwajibika so wameona bora ifanyike nipe nikupeHivi kwanini mnaendekeza tabia za kununua wanawake?
π€π€π€π€Mie sinunui , nimetolea mfano tu. Kwanza nilivyo na kinyaa hapana kakweli. Ila siku hizi wanawake wana demand ya pesa kwasababu wanaume wamekuwa wachoyo na hawataki kuwajibika so wameona bora ifanyike nipe nikupe
ila ya bei nyingi tamu π€ͺπ€ͺπ€π€π€π€
View attachment 3556177
Bei nyingi unaijua wewe ππila ya bei nyingi tamu π€ͺπ€ͺ
Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.
Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
Sorry Broh, ila kwakweli mimi huwa nashangaa sana watu ambao mnaleta humu scenario za Mamanzi ambao mmewafuata wenyewe, kwa mfano wewe namba ulimwomba mwenyewe then unakuja msema humu...What for?Nilimwomba boss
Si nyie wenyewe mnasema hamuuzi ila hamtoi bure pia π€Hivi kwanini mnaendekeza tabia za kununua wanawake?