Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Ole atoke hadharani kujisemea mwenyewe maana yayosemwa juu yake ni mengi na mabaya
Ila kama ni uzushi wanaozusha wawajibishwe na kama ni kweli awajibike mwenyewe

Kumsemea ingali yupo ni kumtetea kwa tusiyoyajua

View attachment 1746424
View attachment 1746425

Masai ole jinga sana,nimelishuhudia siku Moja pale milestone likileta Fujo zake,sijui hata kama lilipa bill.
 
Ole atoke hadharani kujisemea mwenyewe maana yayosemwa juu yake ni mengi na mabaya
Ila kama ni uzushi wanaozusha wawajibishwe na kama ni kweli awajibike mwenyewe

Kumsemea ingali yupo ni kumtetea kwa tusiyoyajua

View attachment 1746424
View attachment 1746425

Duuh huyu Sabaya akipona atakuwa na kazi maalum, najiuliza tu lile chozi la msibani lilikuwa na story ndefu kumbe!!!
 
Ni yeye kweli? Majuzi kati wakati inshu ya bosi wa bandari ina trend kuna picha ilisambaa ikionesha mamilioni ya dola yakiwa chini kwenye sakafu watu wakadai yamekutwa kwake kumbe ni inshu ilitokea Nigeria huko..simtetei lakini naamini vyombo vya dola vitajiridhisha kwanza kwa hatua zaidi.
 
Kwa shutuma dhidi ya huyu dc wa hai kila mahali iwe twitter republic hadi humu jamvini naona sasa it is too much kwa kweli.kama hayo yote anayoshutumiwa ni ya kweli ajitafakari nafasi yake ya uongozi kwa wananchi.

Kwanini shutuma ni kwa huyu dc wa hai na sio kwa ma dc wengine tz? Nimekaa nikatafakari nikasema anyway huenda hata kleruu mkuu wa mkoa wa iringa miaka ile alikuwa na tabia hizi hizi a huyu dc huwezi jua.

Sema nini vijana tukipewa vyeo isiwe fimbo tena ya kuchapia wengine.

Maana kuna leo na kesho.

AYUBU 14:1
 
Back
Top Bottom