Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Magaidi kama haya yanapataje uongozi jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua hapa..nani anachafuliwa hapa sasaHusda mbaya sana....mnapochafua watu wanaowazibia riziki mjue mmatengenezea mazingira mabaya vizazi vyenu hko mbeleni.
Sabaya hana namna labda akimbie nchiKinachonikera hawa MARC na MADC hata wafanye mabaya vipi wanatumbuliwa tu lakini hawashtakiwi hii inakua haina maana ....maana kumtoa kwenye Madaraka peke yake haitoshi maana amesababisha Damage kubwa sana.
Rudi shule kwanzaNa wewe ndio umeamua utusambazie huku?mbona video yenyewe haina sauti wala sura ya huyo Sabaya?
Tutajuaje labda alienda kukamata muarifu wewe unasema ameenda kukusanya kodi kwa mbavu.
Hacheni uchochezi🤔
Nyuma ya kila kitu kuna kila kitu.Hii ni video fupi ambayo leo na jana imesambaa sana mitandaoni hasa twitter ikionyesha mkuu wa wilaya ya Hai ndugu Sabaya akikusanya kodi kwa mabavu yenye kiwango
Ha ha ha hili swali la mtegoFafanua hapa..nani anachafuliwa hapa sasa
wewe shule yako imekusaidia nn?Rudi shule kwanza
Imenisaidia naandika vizuri sina h wa r wala lwewe shule yako imekusaidia nn?
Kazi aliyopewa ni ya kumdhibiti mboweAkamatwe afungwe jiwe shingon atupwe baharin.
Nasema uongo ndugu zangu
Tena anategemewa na mamlaka yake ya uteuziAisee..! Na bado ni kiongozi wa UMMA?
Kujua r na l imeongeza nini kwenye bank akaunti yako ?Imenisaidia naandika vizuri sina h wa r wala l
SmartnessKujua r na l imeongeza nini kwenye bank akaunti yako ?
Ole atoke hadharani kujisemea mwenyewe maana yayosemwa juu yake ni mengi na mabaya
Ila kama ni uzushi wanaozusha wawajibishwe na kama ni kweli awajibike mwenyewe
Kumsemea ingali yupo ni kumtetea kwa tusiyoyajua
View attachment 1746424
View attachment 1746425
Jinga sana wee ,kujua r na l ndio unajiona smart ,nina mashaka hata kama shule yenyewe umeenda .Smartness
Lile jicho lililobaki kutoa machozi kwa jiwe sasa ndiyo zamu yakeMnapoirusha hii video na akiiona kkinyesi kinamgonga kwa nyuma
Huyo jamaa ni mhalifu ambae siku nyingi alitakiwa awe amefungwa magereza. Tuulize sisi tunaoishi nae huku ndio tunamfahamu nyie mataga wenzake mnateteaga upumbavu tu.Na wewe ndio umeamua utusambazie huku?mbona video yenyewe haina sauti wala sura ya huyo Sabaya?
Tutajuaje labda alienda kukamata muarifu wewe unasema ameenda kukusanya kodi kwa mbavu.
Hacheni uchochezi🤔
Kuna uongo/husda yoyote hapo?Husda mbaya sana....mnapochafua watu wanaowazibia riziki mjue mmatengenezea mazingira mabaya vizazi vyenu huko mbeleni.
Itafute ile ya kwanza UTAMUONA.Na wewe ndio umeamua utusambazie huku?mbona video yenyewe haina sauti wala sura ya huyo Sabaya?
Tutajuaje labda alienda kukamata muarifu wewe unasema ameenda kukusanya kodi kwa mbavu.
Hacheni uchochezi🤔