Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Huyu jamaa nilishangaa sana alipoteuliwa kuwa MW maana toka ajifanye afisa kipenyo sina ha.u nae.
 
Sabaya nilikuwa nakuamini kwa uchapa kazi na ukizingatia wewe bado damu changa. Nilisimama hata kutaka kugombana na watu pale nilpopita na kusikia ukisimangwa. Sabaya nimeona cctv nimeacha kumwamin binadam yeyote hapa duniani. Sabaya najiuliza mara mbili hivi ni wewe au macho yangu yanaona ukungu, kama ni wewe umeniangusha sana rafki yangu
 
Sent using Jamii Forums mobile app
imekuaje mzee
 
Umekiona wewe! Sisi ambao hatujaona je? Ila in short Sabaya labda umemjua juzi juzi! Sabaya ni mshenzi na muhuni toka kitambo! Alikuwa rais wetu wa kwanza chuo SJUT 2007 Kipindi hicho sisi ndio tulikuwa waanzalishi wa kwanza wa kile chuo! Alipita with fyling colours ila alikuja kitusaliti sana wanachuo! Ni mshenzi mmoja tu yule
 
Husda mbaya sana....mnapochafua watu wanaowazibia riziki mjue mmatengenezea mazingira mabaya vizazi vyenu huko mbeleni.
 
Na wewe ndio umeamua utusambazie huku?mbona video yenyewe haina sauti wala sura ya huyo Sabaya?

Tutajuaje labda alienda kukamata muarifu wewe unasema ameenda kukusanya kodi kwa mbavu.

Hacheni uchochezi🤔
 
Ole atoke hadharani kujisemea mwenyewe maana yayosemwa juu yake ni mengi na mabaya
Ila kama ni uzushi wanaozusha wawajibishwe na kama ni kweli awajibike mwenyewe

Kumsemea ingali yupo ni kumtetea kwa tusiyoyajua

Back
Top Bottom