Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?...
Naona mmeunda timu ya kumchafua ili anyang'anywe tonge,kila sehemu mnamsema DC Hai,Wewe na Lema acheni ushamba mlishatubu lakini?
 
Naona mmeunda timu ya kumchafua ili anyang'anywe tonge,kila sehemu mnamsema DC Hai,Wewe na Lema acheni ushamba mlishatubu lakini?
Acha Upumbavu, kuna kitu gani huelewi hapo? Kudai kodi maduka ya Arusha kunamhusu nini wakati ofisi yake iko Hai? Unadai kodi unazima CCTV kamera unafichua nini? Upumbavu huu sasa mwisho na Mungu hapendi dhulma. Huyo nyau kwa uwezo wa Mungu atakua na maisha mafupi sana, maisha ya dhulma ni mafupi sana.
 
Msiwe na kiburi mjifunze kulipa kodi kwa hiyali!

Huo ni ujambazi wala sio kodi hapo ,kumdai mtu kodi ndio unamkwida? hadi bidhaa zimefika dukani si ushuru wote ushakatwa? Andakava Sabaya ni tapeli bado tu anaendelea ingawa amekuwa DC ,pamoja na kukamatwa akitapeli watu kwa kujifanya ANDAKAVA IGO SIRII UPELEZI WA NDANI nikajua kashaacha baada ya kupata uDC.
 
Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.
Alikuwa na mabunduki ya polisi?

Kama jibu ni hapana, bsi hao waliovamiwa ni haki yao, kwa sababu ni vilaza kwa kuruhusu ifanyike hivyo!

Huko mtu akipiga kelele kuomba msaada kuwa kavamiwa na jambazi, watu hawajitokezi kumdhibiti jambazi wajuavyo wao?
 
Inaweza kuwa haijasaidia zahanati wala shule direct ila ikawa imesaidia kuongeza ajira, kuwapa mahitaji muhimu wananchi japo wachache na kukuza uchumi wa taifa kwa kulipa kodi
ajira ngapi na wapi?
 
Kwa ujambazi huu kufungwa tu haitoshi anatakiwa anyongwe ha kufa.
 
mbona sioni sura yake
Wewe nani "Jingalao"?

Ngoja niwe upande wako leo.

Hii ni video ya kipropaganda.
Haionyeshi hapo ni wapi, na ni nani huyo mwarabu na hao jamaa ni akina nani.

Mleta mada kaiweka hapa kwa sababu anazojua mwenyewe.

Huyu hana tofauti kubwa na misimamo yeny akina 'Jingalao' mnayoifanya hapa jukwaani.

JF inaharibiwa na mada za aina hii zisizokuwa na maelezo yanayojitosheleza.
 
HUYU ALIWAHI KUVAMIA NYUMBANI KWA MBOWE SAA 9 ALFAJIRI AKIWA NA SILAHA ZA KIVITA KASHIKILIA NA GARI LENYE NAMBA ZA UN,MUWAKILISHI WA UN ALIKANUSHA KWAMBA HAWAITAMBUI HIYO NAMBA...ALIWAHI KUKUTWA NA HATIA YA KUFOJI KITAMBULISHO CHA USALAMA WA TAIFA NA KUFANYIA UTAPELI
ALISHAFANYA FUJO KUBWA COCORICO CLUB YEYE NA WAPAMBE WAKE WAKICHUKUA MADEMU WA WATU KWA MNGUVU AKAENDA CHOO CHA WANAWAKE KUPULIZA SPRAY ZA MADHARA
ALISHAWAHI KUVAMIA HOTEL USIKU HUKO HAI AKITAKA ALALE KWA NGUVU NA MSANII NANDY KINGUVU AMBAYE ALIKUWA KWENYE SHOW HUKO HAI
HAPO HUJAJA KWENYE MATUKIO YA UTEKWAJI NA KUVUNJWA MIGUU NA KUUWAWA KWA WANACHADEMA KUANZIA HAI HADI ARUMERU
WAFANYABIASHARA WENGI WAMEHAMISHIA MITAJI YAO NAIROBI MAANA NI NGUMU KUDEAL NA THE SO CALLED LEADERS WENYE ATTITUDE ZA KIMAFIA HUKU WAIKISIFIWA NI WACHAPA KAZI
 
Naona mmeunda timu ya kumchafua ili anyang'anywe tonge,kila sehemu mnamsema DC Hai,Wewe na Lema acheni ushamba mlishatubu lakini?
Acha uchawi wewe DC na Kodi wapi na wapi? TRA kazi yao NI ipi? Lema anahusikaje hapa?
Sabaya wako Sasa mbele yake ni giza nene kuliko la mwendazake kule kaburini na mama ameshasema hataki dhuluma Kama hizi.
 
Back
Top Bottom