Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
out of topicTangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
out of topicTangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?
Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.
Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.
Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.
View attachment 1746084
View attachment 1746085
Samahani lakini, una uthibitisho ni majungu? Wewe siyo mnufaika wa ile tawala?Vyombo vya Dola vinajulikana vilipo ni vyema kupeleka huko tuhuma zako huko. Huku ni kama unamchafua. Tuchape kazi majungu hayalipi.
Mwendazake alikuwa anapenda watu waovu ka huyo sabaya na hivi huko ndio wapinzani waliko Basi roho yake ilikuwa kwatu. Duh ila Tanzania ilipatwa kwa Aina ya uongozi wa awamu ya tano, I pray hatutakuja kupata uongozi wa kiovu ka huuAiseee,alaf ndie best wa hayati,aisee magu was evil
amenyakuwa dubwana ambalo ilikuwa lisitoke madarakaniNchi ilikuwa km mafia state. Ashukuriwe Mungu
hawa walikuwa wageni waalikwa wa sukuma gangNi moja ya makinia ya wahalifu wa chato empire
Bora tu alipumzika huyu mzee alikuwa na roho ngumu ambayo watanzania wengi hatuna sijui ilikuwa roho gani. Bora kapumzikaTukisema Magufuli alikuwa mshenzi na wala hakufaa kuwa Rais wa Tanzania , watu wajue kuwa kamwe hatumwonei na huu ndo ukweli wenyewe.
Hii ni sehemu ndogo tu iliyokuwa ikifanywa na makundi aliyoyaunda pamoja na vijana wake kina Sabaya na Makonda. Bila kuwasahau kina Kheri James na Musiba.
Waliteka watu, kuuwa watu, kubambikia watu makesi wakishirikiana na Biswalo Mganga pamoja na kupora watu fedha.
Wafanyabiashara wengi walikimbia Tanzania kutokana na ushetani huu. Tukisema Mungu amemchukua Magufuli kwa Makusudi na kumleta Mama yetu Samia watu wawe wanaelewa.
Umemuona Magu hapo!!???Tukisema Magufuli alikuwa mshenzi na wala hakufaa kuwa Rais wa Tanzania , watu wajue kuwa kamwe hatumwonei na huu ndo ukweli wenyewe.
Hii ni sehemu ndogo tu iliyokuwa ikifanywa na makundi aliyoyaunda pamoja na vijana wake kina Sabaya na Makonda. Bila kuwasahau kina Kheri James na Musiba.
Waliteka watu, kuuwa watu, kubambikia watu makesi wakishirikiana na Biswalo Mganga pamoja na kupora watu fedha.
Wafanyabiashara wengi walikimbia Tanzania kutokana na ushetani huu. Tukisema Mungu amemchukua Magufuli kwa Makusudi na kumleta Mama yetu Samia watu wawe wanaelewa.
Mburundi yule kama fedhuli mwenzake Dr. MpangoBora tu alipumzika huyu mzee alikuwa na roho ngumu ambayo watanzania wengi hatuna sijui ilikuwa roho gani. Bora kapumzika
Mamlaka ya uteuzi wa Sabaya alikuwa nani kama sio Magufuli???? Kwa nini hakuwai kumuonya au hata kumtumbua Kama alivyokuwa akijifanya kuwa yeye ni Raisi mwenye taarifa nyingi????Umemuona Magu hapo!!???
are you mad or something!!??
ww kila kitu Magu!!??
mwishowe utamegewa mke utasingizia nanii
Alilindwa na ngazi za juuKama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.
Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.
Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.
View attachment 1746084
View attachment 1746085
Usijitoe akili, watafute waandishi wa Sauti huru. Mtafute pia diwani waliyemsulubisha akuhadithid. After all video zinazagaa mitandaoniTangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?
Punguza kulia lia sio sign nzuri kwa mtoto wa kiume!Mamlaka ya uteuzi wa Sabaya alikuwa nani kama sio Magufuli???? Kwa nini hakuwai kumuonya au hata kumtumbua Kama alivyokuwa akijifanya kuwa yeye ni Raisi mwenye taarifa nyingi????
Kataa kubali Magufuli alikuwa mshenzi aliyepindukia aliyeharibu sana Taifa letu kwa tabia zake za kirundi akishirikiana na vikundi vyake vya wahuni kina Sabaya na Makonda!