Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Muda wenu umewadia! Lazima mtasema na yale mabilioni mliyochukua kwa Baba yake Mo mliyapeleka wapi???

Punguza kulia lia sio sign nzuri kwa mtoto wa kiume!
 
1. Jamaa walikuwa counter wanachota pesa kutoka kwa Muhindi. Ila wameshtuka kuwa kuna camera imewanasa. Wakaamua kuipandisha juu. Ila kwa ukilaza wake sura yake imeonekana vizuri sana wakati anapandisha kamera kwenye direction ya juu...
Hii ndo ilikuwa stairi ya kupata pesa Kwa Magufuli akiwatumia vijana wake hawa kina Sabaya na Makonda.

Mengi sana tutaanza kuyasikia mwaka huu bado kina Mo na Roma ambao watakuja kueleza ni kwa jinsi gani hivi vikundi vya Mwendazake viliwateka
 
We si ndo ulikuwa unakwenda nae kufanya huo ufedhuli kwa wafanyabiashara?

Lord denning umeandika tuu kujifurahisha au umeandika ukitaka nicomment?

Kama unataka nikujibu unahitaji jibu gani?
 
1. Jamaa walikuwa counter wanachota pesa kutoka kwa Muhindi. Ila wameshtuka kuwa kuna camera imewanasa. Wakaamua kuipandisha juu. Ila kwa ukilaza wake sura yake imeonekana vizuri sana wakati anapandisha kamera kwenye direction ya juu...
Dah, nimemuona kabisa sura yake Sababya hadi mwili imeishiwa nguvu.
JPM Mungu amehemu lakini alikosea sana uteuzi wa huyu DC, alikua anajua kabisa kua huyu ni mzoefu wa matukio ya utapeli hebu ona sasa. Ameidhalilisha sana serikali aisee
 
Wewe mtani wangu dear😀

Ila mama D kwa ufedhuli huu waliokuwa wanafanya wateule wa Baba yako! Bado unaamini baba yako Magufuli alikuwa mtu sahihi kwa Tanzania?

Kila mahala kuna mafedhuli..... hebu chunguza hata kwenye ukoo wako kama wanakosekana?
 
Bora tu alipumzika huyu mzee alikuwa na roho ngumu ambayo watanzania wengi hatuna sijui ilikuwa roho gani. Bora kapumzika
Huyo Mzee hakuwa mbongo,si bora angepumzika Ila huyu kafa huku akiwa bado anatamani madaraka.
 
Kuna watu walijua kucheza na akili za mtu
Ila kwa huyu ole sishangai maana kitambo
Kbla hajawa fulani,nishaona mikoko yake
Mitaa ya chuga

Ova

Wenzie wanauona na kuuset mwisho kabla ya kuanza
Yeye anauona mwanzo mwisho umejuset wenyewe
 
Mwendazake alikuwa anapenda watu waovu ka huyo sabaya na hivi huko ndio wapinzani waliko Basi roho yake ilikuwa kwatu. Duh ila Tanzania ilipatwa kwa Aina ya uongozi wa awamu ya tano, I pray hatutakuja kupata uongozi wa kiovu ka huu
St jude vipi imefunguliwa?
 
Back
Top Bottom