Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Vyombo vya Dola vinajulikana vilipo ni vyema kupeleka huko tuhuma zako huko. Huku ni kama unamchafua. Tuchape kazi majungu hayalipi.
 
,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?

Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.

Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.

Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.

View attachment 1746084
View attachment 1746085
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?
 
Kabla sijaingia mkenge wa kumuhukumu huyo jamaa kwenye hii saga nionyesheni pic yake. Baas nishamuona noma kweli...hii ni robbery
 
Furahaa hatimaye, ila Mh. Rais anahitaji sana ushirikiano wetu wa dhati ili kuyafikia matarajio ya wengi wetu!
 
Huu uongozi haumfai.. akae pembeni
 
Back
Top Bottom