Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Hivi taratibu zipoje, DC anaingia na kufanya majukumu ya Wilaya nyingine kivipi? Taratibu zipoje? Huyu sabaya asipongalia anaweza kuingia katika mgogoro wa muda mrefu na vyombo vya sheria, kazi alizozifanya ataziona mavi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Husda mbaya sana....mnapochafua watu wanaowazibia riziki mjue mmatengenezea mazingira mabaya vizazi vyenu huko mbeleni.
Kwanini Unakubali Kuwa Mpumbavu wa Kiwango hicho ndugu?

Hizo ndio taratibu za Ukusanyaji Kodi?

Huyo unayemshabikia Mamlaka Yake ya Utawala yanafika Hadi Wilaya ya Arusha?

Ushabiki wa hivi utafanya hata anayekuagiza kukudharau.
 
Hao ni wateuliwa wa jiwe cv yao kuu ilikuwa ni kuteka na kutishia wapinzani.Sasa baada ya kuwamaliza wapinzani wakawageukia kupora wananchi.
 
Baba yake naye alikuwa wa hovyo na tabia za hovyohovyo akiwa DC longido ndie aliyechoma nyumba za masai kibabe Ili kumpa mwekezaji
 
Aisee Mama Samia ukimrudisha huyu mtu tena basi nitaamini CCM ni ile ile. Hii ni aibu sana kwa serikali kuwa na watumishi wa aina hii. Huu ni upumbavu kabisa. Anajikuta nani huyu kijana? Mbona haya mambo yamelelewa sana?
 
Anapata wapi nguvu ya kutumia hizo number za UN, UNDP? Jamani huyu kijana labda ni kichaa kabisa. Huyu aliwezaje kuwa mtumishi wa umma? Aisee Jiwe alikuwa na matatizo sana kuliko tuliyoyaona.
 
Jambazi Saabaya akamatwe na aswekwe ndani kwa ujambazi wake na arudishe mali zote alizoiba kwa wafanyabiashara. Mama Samia tafadhali...

Akamatwe afungwe jiwe shingon atupwe baharini.

Nasema uongo ndugu zangu

Nchi ilikuwa kama mafia state. Ashukuriwe Mungu

Da! Mola atupe hekima na busara tusiyalewe madaraka

Aiseee, alaf ndie best wa hayati, aisee magu was evil


Ndiomaana alikua anahangaika na kufungia wanaharakati na vyombo vya habari ili uozo wake usijulikane yaani kaaibika hata hajaoza vizuri shwenzyyy

Mtanikumbuka Siyo Kwa Mabaya Lakini Kwa Mazuri
Haa 😂😁😀😀
Tanzania Ni Tajiri
Walikuwa Wanapiga Tu. Sheria Ipitiwe Upya
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
CAG Alikuwa Wapi Wakati Wa Jiwe 👄


 
Vyombo vya Dola vinajulikana vilipo ni vyema kupeleka huko tuhuma zako huko. Huku ni kama unamchafua. Tuchape kazi majungu hayalipi.
Mwendazake mwenyewe alikuwa anapasua mambo hadharani.
 
Kabla sijaingia mkenge wa kumuhukumu huyo jamaa kwenye hii saga nionyesheni pic yake. Baas nishamuona noma kweli...hii ni robbery
Mimi sijaona sura yake lakini haiwezekani Mtu huyo huyo atajwe kwenye kila tukio baya, kwa nini asitajwe mwingine?.
 
biashara yake imesaidia zahanati au shule ngapi?
Usisahau huyu Bwana ni mmoja tu kati ya wengi waliopitia machungu....wengine wanaogopa au hawapendi kuwa adharani, wananung'unika chini kwa chini.
 
Akamatwe afungwe jiwe shingon atupwe baharini.

Nasema uongo ndugu zangu.
Na akijipindua kwenda viwanja,ataelekezwa beach tu akakutane na mabeach boy's wampe abc za maisha mnyama sana huyu dc
 
Mimi nasubiri apigwe chini tu halafu aingie mtaani bila wale walinzi wake. Lazima adinywe tu mamaae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…