Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
-
- #181
Wewe ni mjinga. Una superiority compkex kwa dini iliyokufanya wewe mtumwa.
Hao Wakatoliki ni cult lililohalalisha na lililoendeleza utumwa, wamesaidia ndugu zako watu weusi kuwa watumwa.
Hao Wakatoliki wanasaidia watawa wao kubaka watoto.
Ukiwaita wenzako wako kwenye cult na wao wanakuona hivyo hivyo.
Huyo Mungu unayesema yupo hujathibitisha yupo, acha kukariri Mungu yupo.
Thibitisha yupo.
Imani unaruhusiwa kuwa nayo, lakini imani unaweza kuamini hata uongo.Mungu haitaji kuthibitishwa kwamba yupo. Kutaka kumthibitisha kuwa yupo tayari unakuwa una legalega katika imani.
Kama cremation sip cult mbona ni watu wa hadhi fulani ambao tamuduni yao ni kuzika ila wao wanachagua hivyo na wakati wanajua wazi ndugu zao hii cremation haendani nao.
Imani unaruhusiwa kuwa nayo, lakini imani unaweza kuamini hata uongo.
Sasa unapoamini unajuaje huyo Mungu unayemuamini yupo kweli na hujidanganyi tu?
Cremation sio cult, wewe unaona ni watu wa hadhi fulani tu wanafanya hivyo kwa sababu wewe ni mjinga.
Hao watu wamepita level yako ya ujinga.
Haiingii akikini mwako, kwa sababu akili yako ndogo.Sawa mkuu ila haingii akini hata kidogo mtu mwenye akili akachomwe.
Haiingii akikini mwako, kwa sababu akili yako ndogo.
Wewe unajua hata Kiingereza kwanza?
Kila jamii ina maziko ya aina nyingi kutokana na jinsi ambavyo mtu amefariki/kifo husika. Inabidi ufanye utafiti kabla ya kulaumu maziko ya mtu aliyochagua.Hii hata tamaduni zetu za kimakabila zinakata kabisa.
You are an insular, ignorant, incurious, country bumpkin.Nikijue kinanipa ugali mimi. Sina haja nacho.
Wewe hapo kuna vitu vingapi unafanya ambavyo si culture yenu Africa?Kwa Afrika siyo culture yetu! Lakini kwingeneko duniani wanafanya,nadhari Asia ya Kati na Mbali wanafanya hivyo mf.Wahindi,nk
You are an insular, ignorant, incurious, country bumpkin.
That's the problem.
Kila jamii ina maziko ya aina nyingi kutokana na jinsi ambavyo mtu amefariki/kifo husika. Inabidi ufanye utafiti kabla ya kulaumu maziko ya mtu aliyochagua.
Daah umenikumbusha last week,rafiki yangu Muhindi alifiwa na shangazi yake tukaenda kumchoma pale jikoni kwao, nyuma ya Millennium Towers, Kijitonyama
....ila Honestly lile suala inasikitisha sana, mafuta ya samli yanawaka sana...hadi kichwa kupasuka
Niliona kwa mara ya kwanza lakini nilikuwa na wakati mgumu kuliko wafiwaInatisha sana kaka, ni mambo magumu kuelezeka.
Mtambachuo kwa hao jamaa wawili hutoboi hapo amekosekana kijana wao mshamba_hachekwi
Siku ya mwsho nini kitafufuliwa?Kinachomuona Mungu ni roho na siyo mwili
Kwa Afrika siyo culture yetu! Lakini kwingeneko duniani wanafanya,nadhari Asia ya Kati na Mbali wanafanya hivyo mf.Wahindi,nk
Niliona kwa mara ya kwanza lakini nilikuwa na wakati mgumu kuliko wafiwa
Siku ya mwsho nini kitafufuliwa?