Wewe wa kanisa lipi?Ungekuwa Libya na nchi nyingine za kiarabu, Waislamu wenzako wangekukamata, kukuuza kama mtumwa na kukufanya Malaya pamoja na Uislamu wako. Wee ni kama ngedere tu mbele ya Waarabu.
Kinachomtofautisha "native speaker" na "foreigner" katika lugha yoyote ni "formality" yaaani kutaka kuwa sahihi muda wote. Yaaani, foreigner huzungumza maneno ya kwenye kamusi ilhali native speaker hazingatii hayo. Yeye huzungumza kila alichokizoea katika mazingira yake.Lugha ina siri nyingi, ni Tanzania tu ambapo magazeti hayatumii KiSwahili sanifu.
Gazeti la Taifa Leo la Kenya linaweza kutumiwa na mgeni anayejifunza lugha ya kiSwahili lakini magazeti pendwa ya Tanzania kiswahili chake ni cha "mtaa fulani mdogo'.
Lugha ya Kiarabu sanifu classical Arabic hufundishwa mashuleni na kutumiwa katika magazeti makubwa, riwaya na pia ndicho kinachotumiwa ktk kufundishia ktk madrasa.
Tatizo sisi waTanzania hatuheshimu lugha ya kiSwahili, huwezi kutofautisha nani ni mwanzuoni yaani msomi wakati watanzania wakioongea.
Lakini watu wa jamii nyingine wanaotumia lugha kama za Kiarabu au Kingereza ukisikia mtu anaongea unaweza kwa haraka kutambua kuwa mtu huyu ni msomi au kakulia katika mazingira ambayo watu wanauelewa mpana wa lugha ya Kiarabu classical au Kiingereza classical.
Media za Tanzania zinatakiwa kuwa mbele kwa kuchapisha magazeti kwa lugha sanifu haijalishi ukubwa au udogo wa gazeti, kituo cha radio au kituo cha televisheni.
Ndiyo maana hapa jamiiforums tunaona tunasahihisha kuhusu matumizi ya herufi mfano H katika maneno kama atakuja au hatakuja maneno haya mawili ya kiSwahili yana maana tofauti, lakini media zetu utakuta watangazaji au waandishi wa katika media kubwa hata kutamka au kuandika kwa usahihi tunashindwa.
Sipatikani makanisani, lkn nilichosema ni ukweli. Waarabu ni makatli, wabaguzi wakubwa wa rangi na wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu, dhidi ya Waislamu wenzao kutoka nchi za Africa ambao huko walikotoka idadi kubwa ni Waislamu.Wewe wa kanisa lipi?
Sasa unataka niubishie ukweli uliojitungia mwenyewe?Sipatikani makanisani, lkn nilichosema ni ukweli. Waarabu ni makatli, wabaguzi wakubwa wa rangi na wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu, dhidi ya Waislamu wenzao kutoka nchi za Africa ambao huko walikotoka idadi kubwa ni Waislamu.
Mfano mdogo sana. Hao wa Guinea Conakry zaidi ya 99% ni Waislamu, lakini unyama wa waarabu wanawateka waislamu wenzao na kuwafanya watumwa hadi leo hii kama mababu zao waliowaletea Uislamu nyie Waafrika wote enzi za kale.Sasa unataka niubishie ukweli uliojitungia mwenyewe?
Unataka nikubishie kwa "ukweli" uliojitungia au kwa ujinga uliojazwa nao?Mfano mdogo sana. Hao wa Guinea Conakry zaidi ya 99% ni Waislamu, lakini unyama wa waarabu wanawateka waislamu wenzao na kuwafanya watumwa hadi leo hii kama mababu zao waliowaletea Uislamu nyie Waafrika wote enzi za kale.
Sijajua lakn vp Italy na Israeli kusapoti ushoga wakati ndio chmbuko la Imani??biblia inasemaje hapo???Kiarabu kwa kukopa maneno hasa ya Inglishi, hakijawa haramu kweli? Hivi Qur'an inasemaje hapo?
Wewe kibibi na wenzako wa kobazi, huwa mnadharauliwa sana na waarabu.Sasa unataka niubishie ukweli uliojitungia mwenyewe?
Watastafarian nao wanaona mfumo wa Rastafarian ndio mfumo bora kabisa wa maisha ya binadamu.Huo ni ujuha huo unaoufikiria.
Qur'an ni elimu ya maisha yako ya kila siku unayoishi.
Na Uislam ni mfumo kamili wa maisha Yqko. Ubora wa Uislam hauna mfano.
Hujaelewa. Vyote hivyo ni lugha ya Kiarabu.Mfano ni huu:-
kwa kuruani kuhesabu wanaanza na arif(moja) ,be(mbili) ,te(tatu) ,se(nne) ila kwa kiarabu wanaanza na wahed(moja),khamsa(tano),thalatha(tatu) ,sasa kama wote ni waarabu mbona zinatofautiana? Means kuruani sio kiarabu.
| Name | Isolated | Initial | Medial | Final | Transliteration | Sound | Pronunciation |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 'alif | ا | ـا | ' / ā | long unrounded low central back vowel | 'a' as in 'father' | ||
| Bā' | ب | بـ | ـبـ | ـب | b | voiced bilabial stop | 'b' as in 'bed' |
| Tā' | ت | تـ | ـتـ | ـت | t | voiced aspirated stop | 't' as in 'tent' |
| Thā' | ث | ثـ | ـثـ | ـث | th | voiceless interdental fricative | 'th' as in 'think' |
| Jīm | ج | جـ | ـجـ | ـج | j | voiced palatal affricate | 'j' as in 'jam' |
| Ḥā' | ح | حـ | ـحـ | ـح | ḥ | voiceless pharyngeal constricted fricative | only in Arabic; a constricted English 'h' |
| Khā' | خ | خـ | ـخـ | ـخ | kh | voiceless velar fricative | 'ch' as in German 'Bach' |
| Dāl | د | ـد | d | voiced dental stop | 'd' as in 'deer' (approx.) | ||
| Dhāl | ذ | ـذ | dh | voiced interdental fricative | 'th' as in 'there' | ||
| Rā' | ر | ـر | r | voiced dental trill | 'r' as in 'run' (approx.) | ||
| Zāy | ز | ـز | z | voiced dental sibilant | 'z' as in 'zoo' (approx.) | ||
| Sīn | س | سـ | ـسـ | ـس | s | voiceless dental sibilant | 's' as in 'sit' |
| Shīn | ش | شـ | ـشـ | ـش | sh | voiceless palatal sibilant | 'sh' as in 'shut' |
| Ṣād | ص | صـ | ـصـ | ـص | ṣ | voiceless post-dental sibilant emphatic | the counterpart of Sῑn; all the 'emphatics' are pronounced with the back of the tongue slightly raised |
| Ḍād | ض | ضـ | ـضـ | ـض | ḍ | voiced post-dental emphatic stop | the counterpart of Dāl |
| Ṭā' | ط | طـ | ـطـ | ـط | ṭ | voiceless post-dental emphatic stop | the counterpart of Tā' |
| Ẓā' | ظ | ظـ | ـظـ | ـظ | ẓ | voiced post-interdental emphatic fricative | the counterpart of Dhāl |
| cayn | ع | عـ | ـعـ | ـع | c | voiced pharyngeal fricative | purely Arabic -- a constriction of the throat and an expulsion of the breath with the vocal cords vibrating |
| Ghayn | غ | غـ | ـغـ | ـغ | gh | voiced uvular fricative | close to a French 'r' as in 'Paris' -- like a gentle gargling |
| Fā' | ف | فـ | ـفـ | ـف | f | labio-dental voiceless fricative | 'f' as in 'free' |
| Qāf | ق | قـ | ـقـ | ـق | q | voiceless unaspirated uvular stop | 'k' in the back of the throat; compare 'cough' with 'calf' |
| Kāf | ك | كـ | ـكـ | ـك | k | voiceless aspirated palatal or velar stop | 'k' as in 'king' |
| Lām | ل | لـ | ـلـ | ـل | l | voiced dental lateral | 'l' as in 'lift' |
| Mīm | م | مـ | ـمـ | ـم | m | voiced bilabial nasal | 'm' as in 'moon' |
| Nūn | ن | نـ | ـنـ | ـن | n | voiced dental nasal | 'n' as in 'net' |
| Hā' | ه | هـ | ـهـ | ـه | h | voiceless glottal fricative | 'h' as in 'house' |
| Wāw | و | ـو | w | voiced bilabial glide | 'w' as in 'wonder' | ||
| Yā' | ي | يـ | ـيـ | ـي | y | voiced palatal glide | 'y' as in 'yellow' |
| Hamza | ء | ' | voiceless glottal stop |
Swali ni je maneno hayohayo ya "alipofika kwenye soko aliubiri dini" kwa lugha ya kiarabu na kuruan yatakuwa natofauti ya kimaandishi au herufi?Ni hivi,
Kule kwenye vitabu vya dini kuna aya (tuite sentensi) ambazo ni muunganiko wa maneno mbalimbali. Sasa maneno haya ni ya kiarabu na ukiyaunga unapata sentensi/aya/verse kuhusu jambo fulani.
Lakini maneno haya yakiunganishwa na maneno mengine ambayo msomaji wa Quraan hakujifunza yataleta maana ingine ambayo msomaji anaweza asiielewe.
Mfano mtu anaweza kujifunza kwenye Quraan tafsiri ya aya iliyoandikwa kwa kiarabu inayosema "Alipofika kwenye SOKO alihubiri dini". Mtu huyo ukimpa gazeti la kiarabu linalosema "SOKO linaungua" hatoelewa tafsiri yake sababu neno KUUNGUA haliko kwenye Quraan so hajawahi kujifunza tafsiri yake.
Kuna jamaa ni mjuvi wa mambo mbalimbali na dini hiyo kaishika sana.
Siku moja nilimbishia kuwa kwa kusoma tu Quran au madrasa siamini kama kweli lugha ya kiarabu mnaweza kuimudu vyema.Jamaa alinibishia sana akasema kiarabu anakiweza tu kwani elimu aliyoipata kupitia dini inamwezesha!
Siku moja nilimtega gazeti kama ulivyowafanyia hao jamaa.Nilishangaa jibu lake,alidai mtindo wa uandishi uliotumika siyo mzuri hivyo haumuwezeshi kuyatambua maandishi yale!
Kweli kuna watu wabishi!
Jibu swali acha kujibu usiyoulizwaPale wana Deal na elimu Akhera jinsi utakavyo ishi kaburini mwako.
Ndo maana kuna tofauti kati ya Waarabu na waislam ml
That's pointKiarabu kiko standard Arabic,ndio lugha inayotumika katika quran,na kuna kiarabu cha maandko na matamshi tofauti,inategemea gazeti limeandikwa kwa kiarabu kipi.Kumbuka Qur'an ni standard Arabic sio lugha ya kienyeji.Ni kama kiingereza kuna :
1.American English
2:British English
Halafu kuna English
1:Biblical English(ambayo pia inatumika kwenye vitabu vya dini kama Qur'an,Gita,Nk)
2:English ya sheria
3.English ya science
4.English ya mahesabu nk
Kipimo ni kidogo tu, dini ipi inayokua kwa kasi duniani leo hii?Watastafarian nao wanaona mfumo wa Rastafarian ndio mfumo bora kabisa wa maisha ya binadamu.
Ninaye Rasta hapa amecheka sana kusikia unavyozungumza na anasema ulisemalo halina mantiki kabisa.
Anasema Mungu wao Fera Jah Lire na Mtume wao Gabri Haile Selasie wa Ethiopia ndio wakuaminika kuliko yeyote wengine ni porojo tu.
Wao wanasali (Sabato) siku ya Jumamosi.
Yupo hapa pembeni yangu anafurahia Komunio yake takatifu yaani kuvuta bangi.
Mi nimebaki kumsikiliza tu kama ninavyo kusikiliza wewe.
Kitu kama hujuwi ni heri uulize kuliko kujifanya unajuwa kumbe hujuwi.Mfano ni huu:-
kwa kuruani kuhesabu wanaanza na arif(moja) ,be(mbili) ,te(tatu) ,se(nne) ila kwa kiarabu wanaanza na wahed(moja),khamsa(tano),thalatha(tatu) ,sasa kama wote ni waarabu mbona zinatofautiana? Means kuruani sio kiarabu.
Kitu kama hujuwi ni heri uulize kuliko kujifanya unajuwa kumbe hujuwi.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Katika dunia hii wasiokuwa na dini ndio wengi na ndio wanaoongezeka zaidi. Kwa idadi wanawazidi wenye dini wote.Kipimo ni kidogo tu, dini ipi inayokua kwa kasi duniani leo hii?
Hapana Mkuu,Mfano ni huu:-
kwa kuruani kuhesabu wanaanza na arif(moja) ,be(mbili) ,te(tatu) ,se(nne) ila kwa kiarabu wanaanza na wahed(moja),khamsa(tano),thalatha(tatu) ,sasa kama wote ni waarabu mbona zinatofautiana? Means kuruani sio kiarabu.
Hahahaaa nimekusoma Mkuu.Hapana Mkuu,
Alif Be The The.... ndio ABCDE..... za kiarabu (herufi)
Na Wahed, Thalatha, Arba, Hamsa, ..... ndio Moja, Mbili, Tatu, Nne (number) za kiarabu.
Hapo ni vitu tofauti umetaja