Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mbona hushangai mtu anamaliza chuo kikuu kakariri kwa kizungu ila ukimwambia abadili kwa kiswahili page moja hawezi?
Halafu anajiita mtaalamu
Tatizo wengi wanakaririshwa bila kufundishwa maana ya maneno yote na hiyo sio sahihi
Kuelewa kiarabu na kuielewa quran ni mambo mawili tofauti
Halafu anajiita mtaalamu
Tatizo wengi wanakaririshwa bila kufundishwa maana ya maneno yote na hiyo sio sahihi
Kuelewa kiarabu na kuielewa quran ni mambo mawili tofauti