Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

Ungekuwa Libya na nchi nyingine za kiarabu, Waislamu wenzako wangekukamata, kukuuza kama mtumwa na kukufanya Malaya pamoja na Uislamu wako. Wee ni kama ngedere tu mbele ya Waarabu.
Wewe wa kanisa lipi?
 
Lugha ina siri nyingi, ni Tanzania tu ambapo magazeti hayatumii KiSwahili sanifu.

Gazeti la Taifa Leo la Kenya linaweza kutumiwa na mgeni anayejifunza lugha ya kiSwahili lakini magazeti pendwa ya Tanzania kiswahili chake ni cha "mtaa fulani mdogo'.

Lugha ya Kiarabu sanifu classical Arabic hufundishwa mashuleni na kutumiwa katika magazeti makubwa, riwaya na pia ndicho kinachotumiwa ktk kufundishia ktk madrasa.

Tatizo sisi waTanzania hatuheshimu lugha ya kiSwahili, huwezi kutofautisha nani ni mwanzuoni yaani msomi wakati watanzania wakioongea.

Lakini watu wa jamii nyingine wanaotumia lugha kama za Kiarabu au Kingereza ukisikia mtu anaongea unaweza kwa haraka kutambua kuwa mtu huyu ni msomi au kakulia katika mazingira ambayo watu wanauelewa mpana wa lugha ya Kiarabu classical au Kiingereza classical.

Media za Tanzania zinatakiwa kuwa mbele kwa kuchapisha magazeti kwa lugha sanifu haijalishi ukubwa au udogo wa gazeti, kituo cha radio au kituo cha televisheni.

Ndiyo maana hapa jamiiforums tunaona tunasahihisha kuhusu matumizi ya herufi mfano H katika maneno kama atakuja au hatakuja maneno haya mawili ya kiSwahili yana maana tofauti, lakini media zetu utakuta watangazaji au waandishi wa katika media kubwa hata kutamka au kuandika kwa usahihi tunashindwa.
Kinachomtofautisha "native speaker" na "foreigner" katika lugha yoyote ni "formality" yaaani kutaka kuwa sahihi muda wote. Yaaani, foreigner huzungumza maneno ya kwenye kamusi ilhali native speaker hazingatii hayo. Yeye huzungumza kila alichokizoea katika mazingira yake.

Kwenye lugha ya kijerumani, kwa mfano, articles kama "a" na "the" zipo tatu kulingana na jinsia/gender ya nomino husika. Kama nomino ni feminine basi article "die" hutumika (die Mannschaft), kama ni masculine article "der" hutumika (der Vater) na kama gender ni neuter basi article "das" hutumika (das Kino)

Pia kumbuka hakuna kanuni rasmi ya kuweza kung'amua kama nomino hii ni gender ipi (masculine, feminine au neuter) lakini mjerumani mzawa (native) hachanganyi hata siku moja kati ya Die, Der na Das lakini foreigner lazima achanganye.

Na hiyo ndio tofauti yao. Foreigners mara nyingi wapo serious na lugha tofauti na natives.
 
Wewe wa kanisa lipi?
Sipatikani makanisani, lkn nilichosema ni ukweli. Waarabu ni makatli, wabaguzi wakubwa wa rangi na wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu, dhidi ya Waislamu wenzao kutoka nchi za Africa ambao huko walikotoka idadi kubwa ni Waislamu.
 
Sasa unataka niubishie ukweli uliojitungia mwenyewe?
 
Sasa unataka niubishie ukweli uliojitungia mwenyewe?
Mfano mdogo sana. Hao wa Guinea Conakry zaidi ya 99% ni Waislamu, lakini unyama wa waarabu wanawateka waislamu wenzao na kuwafanya watumwa hadi leo hii kama mababu zao waliowaletea Uislamu nyie Waafrika wote enzi za kale.

Unataka nikubishie kwa "ukweli" uliojitungia au kwa ujinga uliojazwa nao?

Wewe wa kanisa lipi?
 
Sasa unataka niubishie ukweli uliojitungia mwenyewe?
Wewe kibibi na wenzako wa kobazi, huwa mnadharauliwa sana na waarabu.

Yaani WANAWADHARAU SANA pamoja na kujipendekeza kote huko mnakojipendekeza kwao.
 
Huo ni ujuha huo unaoufikiria.

Qur'an ni elimu ya maisha yako ya kila siku unayoishi.

Na Uislam ni mfumo kamili wa maisha Yqko. Ubora wa Uislam hauna mfano.
Watastafarian nao wanaona mfumo wa Rastafarian ndio mfumo bora kabisa wa maisha ya binadamu.

Ninaye Rasta hapa amecheka sana kusikia unavyozungumza na anasema ulisemalo halina mantiki kabisa.

Anasema Mungu wao Fera Jah Lire na Mtume wao Gabri Haile Selasie wa Ethiopia ndio wakuaminika kuliko yeyote wengine ni porojo tu.

Wao wanasali (Sabato) siku ya Jumamosi.

Yupo hapa pembeni yangu anafurahia Komunio yake takatifu yaani kuvuta bangi.
Mi nimebaki kumsikiliza tu kama ninavyo kusikiliza wewe.
 
Mfano ni huu:-

kwa kuruani kuhesabu wanaanza na arif(moja) ,be(mbili) ,te(tatu) ,se(nne) ila kwa kiarabu wanaanza na wahed(moja),khamsa(tano),thalatha(tatu) ,sasa kama wote ni waarabu mbona zinatofautiana? Means kuruani sio kiarabu.
Hujaelewa. Vyote hivyo ni lugha ya Kiarabu.

alif (ا), Bā' (ب) Tā (ت) Thā' (ث)

Ni alfabeti za kiarabu

Na hiyo Wahid, Khamsa, Thatathah ni nambari za Kiarabu.

The Arabic Alphabet: Consonants​

NameIsolatedInitialMedialFinalTransliterationSoundPronunciation
'alifاـا' / ālong unrounded low central back vowel'a' as in 'father'
Bā'ببــبــبbvoiced bilabial stop'b' as in 'bed'
Tā'تتــتــتtvoiced aspirated stop't' as in 'tent'
Thā'ثثــثــثthvoiceless interdental fricative'th' as in 'think'
Jīmججــجــجjvoiced palatal affricate'j' as in 'jam'
Ḥā'ححــحــحvoiceless pharyngeal constricted fricativeonly in Arabic; a constricted English 'h'
Khā'خخــخــخkhvoiceless velar fricative'ch' as in German 'Bach'
Dālدـدdvoiced dental stop'd' as in 'deer' (approx.)
Dhālذـذdhvoiced interdental fricative'th' as in 'there'
Rā'رـرrvoiced dental trill'r' as in 'run' (approx.)
Zāyزـزzvoiced dental sibilant'z' as in 'zoo' (approx.)
Sīnسســســسsvoiceless dental sibilant's' as in 'sit'
Shīnششــشــشshvoiceless palatal sibilant'sh' as in 'shut'
Ṣādصصــصــصvoiceless post-dental sibilant emphaticthe counterpart of Sῑn; all the 'emphatics' are pronounced with the back of the tongue slightly raised
Ḍādضضــضــضvoiced post-dental emphatic stopthe counterpart of Dāl
Ṭā'ططــطــطvoiceless post-dental emphatic stopthe counterpart of Tā'
Ẓā'ظظــظــظvoiced post-interdental emphatic fricativethe counterpart of Dhāl
caynععــعــعcvoiced pharyngeal fricativepurely Arabic -- a constriction of the throat and an expulsion of the breath with the vocal cords vibrating
Ghaynغغــغــغghvoiced uvular fricativeclose to a French 'r' as in 'Paris' -- like a gentle gargling
Fā'ففــفــفflabio-dental voiceless fricative'f' as in 'free'
Qāfققــقــقqvoiceless unaspirated uvular stop'k' in the back of the throat; compare 'cough' with 'calf'
Kāfككــكــكkvoiceless aspirated palatal or velar stop'k' as in 'king'
Lāmللــلــلlvoiced dental lateral'l' as in 'lift'
Mīmممــمــمmvoiced bilabial nasal'm' as in 'moon'
Nūnننــنــنnvoiced dental nasal'n' as in 'net'
Hā'ههــهــهhvoiceless glottal fricative'h' as in 'house'
Wāwوـوwvoiced bilabial glide'w' as in 'wonder'
Yā'ييــيــيyvoiced palatal glide'y' as in 'yellow'
Hamzaء'voiceless glottal stop

  • 1 – ١ wahid (واحد)
  • 2 – ٢ ithnan (إثنان)
  • 3 – ٣ thalatha (ثلاثة)
  • 4 – ٤ arba’a (أربع)
  • 5 – ٥ khamsa (خمسة)
  • 6 – ٦ sitta (ستة)
  • 7 – ٧ sab’a (سبعة)
  • 8 – ٨ thamaniya (ثمانية)
  • 9 – ٩ tis’a (تسعة)
  • 10 – ١٠ ‘ashra (عشرة)

Nadhani utakuwa umeweza kutofautisha. Au itakuwa kuna kitu kilikuchanganya.
 
Ni hivi,
Kule kwenye vitabu vya dini kuna aya (tuite sentensi) ambazo ni muunganiko wa maneno mbalimbali. Sasa maneno haya ni ya kiarabu na ukiyaunga unapata sentensi/aya/verse kuhusu jambo fulani.

Lakini maneno haya yakiunganishwa na maneno mengine ambayo msomaji wa Quraan hakujifunza yataleta maana ingine ambayo msomaji anaweza asiielewe.

Mfano mtu anaweza kujifunza kwenye Quraan tafsiri ya aya iliyoandikwa kwa kiarabu inayosema "Alipofika kwenye SOKO alihubiri dini". Mtu huyo ukimpa gazeti la kiarabu linalosema "SOKO linaungua" hatoelewa tafsiri yake sababu neno KUUNGUA haliko kwenye Quraan so hajawahi kujifunza tafsiri yake.
Swali ni je maneno hayohayo ya "alipofika kwenye soko aliubiri dini" kwa lugha ya kiarabu na kuruan yatakuwa natofauti ya kimaandishi au herufi?
 
Nina uhakika hata wewe kiingereza haujui ila ukipewa kitabu cha kiingereza unasoma.
Ndivyo ilivyo kwa kiarabu lugha na Quran.
Mimi Mungu kanijaalia nimesoma Quran Tena nimekaa miaka 4 ndo nimejua kusoma quran yotr.japo sijahifadhi.
Kuna jamaa ni mjuvi wa mambo mbalimbali na dini hiyo kaishika sana.
Siku moja nilimbishia kuwa kwa kusoma tu Quran au madrasa siamini kama kweli lugha ya kiarabu mnaweza kuimudu vyema.Jamaa alinibishia sana akasema kiarabu anakiweza tu kwani elimu aliyoipata kupitia dini inamwezesha!

Siku moja nilimtega gazeti kama ulivyowafanyia hao jamaa.Nilishangaa jibu lake,alidai mtindo wa uandishi uliotumika siyo mzuri hivyo haumuwezeshi kuyatambua maandishi yale!
Kweli kuna watu wabishi!
 
Kiarabu kiko standard Arabic,ndio lugha inayotumika katika quran,na kuna kiarabu cha maandko na matamshi tofauti,inategemea gazeti limeandikwa kwa kiarabu kipi.Kumbuka Qur'an ni standard Arabic sio lugha ya kienyeji.Ni kama kiingereza kuna :
1.American English
2:British English
Halafu kuna English
1:Biblical English(ambayo pia inatumika kwenye vitabu vya dini kama Qur'an,Gita,Nk)
2:English ya sheria
3.English ya science
4.English ya mahesabu nk
That's point
 
Watastafarian nao wanaona mfumo wa Rastafarian ndio mfumo bora kabisa wa maisha ya binadamu.

Ninaye Rasta hapa amecheka sana kusikia unavyozungumza na anasema ulisemalo halina mantiki kabisa.

Anasema Mungu wao Fera Jah Lire na Mtume wao Gabri Haile Selasie wa Ethiopia ndio wakuaminika kuliko yeyote wengine ni porojo tu.

Wao wanasali (Sabato) siku ya Jumamosi.

Yupo hapa pembeni yangu anafurahia Komunio yake takatifu yaani kuvuta bangi.
Mi nimebaki kumsikiliza tu kama ninavyo kusikiliza wewe.
Kipimo ni kidogo tu, dini ipi inayokua kwa kasi duniani leo hii?
 
Mfano ni huu:-

kwa kuruani kuhesabu wanaanza na arif(moja) ,be(mbili) ,te(tatu) ,se(nne) ila kwa kiarabu wanaanza na wahed(moja),khamsa(tano),thalatha(tatu) ,sasa kama wote ni waarabu mbona zinatofautiana? Means kuruani sio kiarabu.
Kitu kama hujuwi ni heri uulize kuliko kujifanya unajuwa kumbe hujuwi.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mfano ni huu:-

kwa kuruani kuhesabu wanaanza na arif(moja) ,be(mbili) ,te(tatu) ,se(nne) ila kwa kiarabu wanaanza na wahed(moja),khamsa(tano),thalatha(tatu) ,sasa kama wote ni waarabu mbona zinatofautiana? Means kuruani sio kiarabu.
Hapana Mkuu,
Alif Be The The.... ndio ABCDE..... za kiarabu (herufi)

Na Wahed, Thalatha, Arba, Hamsa, ..... ndio Moja, Mbili, Tatu, Nne (number) za kiarabu.

Hapo ni vitu tofauti umetaja
 
Hapana Mkuu,
Alif Be The The.... ndio ABCDE..... za kiarabu (herufi)

Na Wahed, Thalatha, Arba, Hamsa, ..... ndio Moja, Mbili, Tatu, Nne (number) za kiarabu.

Hapo ni vitu tofauti umetaja
Hahahaaa nimekusoma Mkuu.
 
Back
Top Bottom