Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

Ili tukupime kama una Ela ngoja figo zako zifeli ndo tutajua kijana ulimaanisha au ulikuwa unabwabwaja.
 
Naomba codes
 
Naomba codes
Hawezi kukupa codes maskini tu huyo hajui lolote kuhusiana na pesa ndio maana amkariri kusema tafuta pesa.

Tafuta fursa za kuingiza pesa mkuu, anza na networking, network za watu walio serious katika kukuza uchumi wao. Mtaanza kushea fursa mbalimbali na kupeana mikakati ya kuziingia.

Utajuaje wapo seriaz

Kupitia maongezi, sio mkikaa ni kujadili Simba, Yanga, Man U/C, Livapul, mademu wakali. Hamtoboi.

Pesa ni matokeo. Tafuta na changamkia fursa.
 
wewe dawa yako ni mauti. siku ikifika ndiyo utajua hujui. Mpe Yesu maisha yako uwe na uzima wa milele.

saa ya wokovu ni sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…