Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa
tafuta shughuli halali ya kufanya unataka kila mtu apate pesa kwa kutinduliwa kama wewe?
 
Acha ujinga bro, matajiri hawashindi mtandaoni kujibu ujinga na kutangaza utajiri wa shemeji zao. Ondoka kwa shemeji nenda katafute pesa utakufa maskini.

Au unafurahia kila siku kutumwa sokoni Kisutu kununua korosho na kufuata watoto shule.

Sekunde kadhaa tajiri feki upo standby kujibu meseji inayoingia.
Na kuchambua njegere kibarazani kwa shemeji🤣
 
Na kwa taarifa yako pesa haitafutwi. Kinachotafutwa ni fursa.

Vile hujui unadanganya watu watafute pesa. Pesa ni matokeo, ukishapata fursa, kama ni nzuri utapata pesa nzuri.
Tafuta hela masikini wewe
 
Tafuta hela masikini wewe unazeeka sasa ukiwa fukara
oya songi lako hilo daz baba alishakuimbia. wanamwita kaka poa huyu jamaa,wanamwita mtoto wa watu huyu jamaa sijui nidhiki au ni laana huyu jamaa, nakuomba umsameh maulanaa, jamaa amekomaa amekubuh kwenye ukafir upuuzi huu.
 
Back
Top Bottom