Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

Haky



Uzuri umeyaona Mwenyewe,Boss wako Nchimbi, dhamira imemsuta,kaachia,wewe ni nani Hadi ushupaze shingo?Jitakari,chukua Hatua!
Yes,
nimeona na kushangaa sana eti msomi kabisa anakiuka sheria, lakini pia anatukana na kuporomosha matusi jukwaani kana kwamba eti hayo ndio mbadala wa malalamiko yake.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise πŸ’
 
Mungu Mwema,unayasikia,utayaona Kwa macho Yako!
kwamba kwa kukosa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine, msomi anajificha kwenye kuhubiri neno la Mungu 🀣
 
Yes,
nimeona na kushangaa sana eti msomi kabisa anakiuka sheria, lakini pia anatukana na kuporomosha matusi jukwaani kana kwamba eti hayo ndio mbadala wa malalamiko yake.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise πŸ’
_Ofisi za wakurugenzi,kufungwa!
_Kusema wagombea,hawajui, kusoma na kuandika!
_Blaa za hapa na pale
Mambo yote HAya ni Kwa wapinzani tuu!Wewe ni mzushi na mpiga propaganda za kijinga
 
TZ hakuna uchaguzi bali ni UHUNI tu.
 
_Ofisi za wakurugenzi,kufungwa!
_Kusema wagombea,hawajui, kusoma na kuandika!
_Blaa za hapa na pale
Mambo yote HAya ni Kwa wapinzani tuu!Wewe ni mzushi na mpiga propaganda za kijinga
So,
kama msomi,
akili yako imegota kabisa kwenye kuleta fujo, ghasia na maarifa as alternative ya porojo na visingizio vyako useless, right?

so,
elimu imekusaidia wapi sasa kama ndio hivyo?πŸ’
 
Kwani wewe mburula unajua hata maana ya usomi, maana tusijekuwa tunachanganyana hapa.
relax tu gentleman ikiwa umelemewa na uzito wa hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi πŸ’
 
kwamba ndio msomi umetoa maoni na mawazo mbadala yaliyotokana na usomi wako dah!

mtasogea kweli gentleman hata kahatua kamoja tu ikiwa malalamiko haya yasiyo na mbadala?πŸ’
 
Kuna maana gani kwa kiongozi mkuu, aliyeshinda kura kwa asilimia 98% akawa bado analilia maridhiano wakati ameungwa mkono kwa kiwango kikubwa namna hiyo, tena hayo maridhiano anatumia nguvu kubwa yapatikane hiyo ina maana gani?
ni vizuri ikiwa ni msomi,
ukawa na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya kulaumu na kulalamika kusiko na tija gentleman, ili hatimae usomi wako ukukomboe wewe mwenyewe, lakini pia na wanaokubaliana na mtazamo wako.

nadhani kulalamika tu ni hot air gentleman πŸ’
 
Alternative za namna gani ambazo ni sahihi kwa utawala wa namna hii? Kwa sababu ni wazi kwamba wanazungumzia demokrasia lakini ku I practice hawataki? Siasa za kiharakati kwa tawala za namna hii ndizo zinazofaa.
Gentleman,
kama msomi unapaswa kuzibuni hizo alternatives na kushawishi umma kuzielewa na wa kuunge mkono hatimae uweze kupata nafasi ya kutekeleza unachoamini kitaleta mabadiliko.

ni muhimu ikiwa wengine wanaizungumzia na kuipractice demokrasia kwa namna ambayo haikupendezi, msomi anapaswa kuja na mbadala wa hali hiyo na sio kuishia kulalamika tu, nadhani itapendeza zaidi gentleman, ama unaonaje?πŸ’
 
Nimeuliza ndugu msomi sijalalamika Sehemu, nimeuliza kuna maana gani?

Huko chamani wenye mawazo mapya mnawafukuza mnataka mawazo ya zamani, kwani huko chamani wasomi mnawataka?
 
Nimeuliza ndugu msomi sijalalamika Sehemu, nimeuliza kuna maana gani?

Huko chamani wenye mawazo mapya mnawafukuza mnataka mawazo ya zamani, kwani huko chamani wasomi mnawataka?
In fact,
usomi hauna maana yoyote ikiwa msomi anaona kwamba kususia uchaguzi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu eti ndio mbadala wa changamoto zake.

na hata ukiona chama fulani cha siasa wanafanya mambo yasiyokupendeza, kama msomi inafaa uanzishe chama mbadala wa hicho ambacho hakikupendezi na hapo utakua umeitendea haki elimu yako, right?πŸ’
 
Ggentlemen umeshikwa pabaya unaruka ruka ruka, huko chamani kwenu mtu akileta mawazo mbadala ya kisomi mnamkubali au mnamfukuza, ukiwa msomi halafu muoga huku ukiwaza tumbo hufai kuwa msomi, angalia bunge halina chochote wanachofanya kwasababu wamejaa uoga akiongea tofauti na walio kwenye kiti ana tatizo

Asiye na hoja hukimbilia kutumia nguvu, ndio maana usomi si hoja huko kwenu bali ni mwenye uwezo wa kusifia bila kujali chochote
 
kivipi tena gentleman?
au umekosa kabisa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani?

inashangaza msomi kulalamika na kulaumu badala ya kubuni na kuja na mbadala wa malalamiko yake πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…