Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

kivipi tena gentleman?
au umekosa kabisa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani?

inashangaza msomi kulalamika na kulaumu badala ya kubuni na kuja na mbadala wa malalamiko yake πŸ’
Huna hoja gentlemen endelea kupuyanga
 
Your browser is not able to display this video.

Kuna machoko yanadhani watu ni wapumbavu ambao wanaweza kukubali kushiriki katika uharamu huu ambao si uchaguzi bali ni uhalalishaji wa kile kilicho kinyume na utashi wa wananchi.
 
 
Raisi anamteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe/ wakurugenzi wake, Raisi anagombea uraisi tume iliyochaguliwa na Raisi yamtangaza raisi kuwa mshindi wa uraisi.
 
Raisi anamteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe/ wakurugenzi wake, Raisi anagombea uraisi tume iliyochaguliwa na Raisi yamtangaza raisi kuwa mshindi wa uraisi.
kwasababu hiyo,
kama msomi unawajibika kulalamika tu bila kuonyesha altenative na kususia uchaguzi right?
 
unategemea nini kutoka kwa wasomi wanaosema walikosomea na kufundishia ni jalala,,
 
mfano uchaguz wa serikali za mitaa alotunga kanuni za uchaguzi na kuzisimamia ni mchengerwa ambae ni mkwe wa mtawala unataka kutuaminisha nini sisi?
 
View attachment 3662345
Kuna machoko yanadhani watu ni wapumbavu ambao wanaweza kukubali kushiriki katika uharamu huu ambao si uchaguzi bali ni uhalalishaji wa kile kilicho kinyume na utashi wa wananchi.
kwamba drama rahisi kama hiyo ambayo mtu yoyote yule anaweza kuifanya,
eti ndio ikuchochea kujidharau na kukufanya msomi mzima kua kama mwendawazimu na kuamaua kulipua vituo vya mafuta na kuharibu miundombinu, right?
 
Nyerere alikataa umalaya wa kisiasa..

Malaya ni Malaya atagawa kwa Kila raia Bure, akipewa ofa ya BIA, aki need a favour.

NB. Msalimie EN, Mwambie refa kaita mpira Katikati
 
mfano uchaguz wa serikali za mitaa alotunga kanuni za uchaguzi na kuzisimamia ni mchengerwa ambae ni mkwe wa mtawala unataka kutuaminisha nini sisi?
wewe kama msomi kanuni zako zikoje na ziko wapi?

msomi analalamika with alternative gentleman, otherwise ni kujichelewesha tu kimaendeleo
 
kwamba fikra mbadala za msomi dhidi ya malalamiko yake ndio zimeishia hapo?🀣
Kama mmoja anaishi nje ya fikra, anatumia mabavu kupata 98% ya kura, anatumia jeshi, anauwa kila anayepingana nae, anateka, anafira, unadhani huyu mwingine afanyeje gentleman, wewe uliye msomi tunaomba fikra pevu!
 
Nyerere alikataa umalaya wa kisiasa..

Malaya ni Malaya atagawa kwa Kila raia Bure, akipewa ofa ya BIA, aki need a favour.

NB. Msalimie EN, Mwambie refa kaita mpira Katikati
katika siasa,
kulaumu na kulalamika bila kua na mbadala wa malalamiko yako ni sawa na kunena kwa lugha tu gentleman ukiwa kwenye maombi makali,

but ile muhimu zaidi,
mwingine akiwa malaya kwenye siasa, ni vizuri wengine wakawa mbadala wa hao umalaya katiaka siasa na sio kushangaa tu kwa ngonjera na mazingaumbwe.


don't be confused by political dynamics, because that's nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…