hizo ni dalili za msomi kufikia kiwango chake cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala gentleman.Kama mmoja anaishi nje ya fikra, anatumia mabavu kupata 98% ya kura, anatumia jeshi, anauwa kila anayepingana nae, anateka, anafira, unadhani huyu mwingine afanyeje gentleman, wewe uliye msomi tunaomba fikra pevu!
😁 Gentleman, nakusalimia pia pole na pilika za hapa na pale.katika siasa,
kulaumu na kulalamika bila kua na mbadala wa malalamiko yako ni sawa na kunena kwa lugha tu gentleman ukiwa kwenye maombi makali,
but ile muhimu zaidi,
mwingine akiwa malaya kwenye siasa, ni vizuri wengine wakawa mbadala wa hao umalaya katiaka siasa na sio kushangaa tu kwa ngonjera na mazingaumbwe.
don't be confused by political dynamics, because that's nature
Hizo ndio fikra pevu gentleman? Unahitaji kusismuliwa nerves zako za ufahamu!hizo ni dalili za msomi kufikia kiwango chake cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala gentleman.
unahitaji kusisimuliwa mentaly
The aftermath of rigging the elections ni hatari zaidi ya retaliation/anger zilizofanywa na Gen Z, you can see tumepachikiwa shangingi ambalo mpaka aliyekuwa ni running mate(literally both president and vice president walichaguliwa kama timu tuki-assume kwamba ni kweli walichaguliwa) wake limemuweka kizuizini simply kwa kuwa halijiamini hivyo kila linayeona popularity inapanda linamuhisi ni threat. It's simply translated as a terribly pathetic inferiority complex.kwamba drama rahisi kama hiyo ambayo mtu yoyote yule anaweza kuifanya,
eti ndio ikuchochea kujidharau na kukufanya msomi mzima kua kama mwendawazimu na kuamaua kulipua vituo vya mafuta na kuharibu miundombinu, right?
ndugu msomi,The aftermath of rigging the elections ni hatari zaidi ya retaliation/anger zilizofanywa na Gen Z, you can see tumepachikiwa shangingi ambalo mpaka aliyekuwa ni running mate(literally both president and vice president walichaguliwa kama timu tuki-assume kwamba ni kweli walichaguliwa) wake limemuweka kizuizini simply kwa kuwa halijiamini hivyo kila linayeona popularity inapanda linamuhisi ni threat. It's simply translated as a terribly pathetic inferiority complex.
ni muhimu sana kubadili changamoto kua fursa na itapendeza zaidi politically speaking gentleman 🐒😁 Gentleman, nakusalimia pia pole na pilika za hapa na pale.
Pole sana kwa pigo la kudondokewa na moja ya ma Godfather wako mzee wetu EN, fikisha salamu kwa ndugu jamaa na marafiki
gentleman,Wasomi ni nyie na PhD zenu.ivi namba moja wa kwenu ana PhD ya nini??yule mwingine eti maganda ya korosho😂😂
If the explanation is beyond your comprehension just leave it.ndugu msomi,
ndio unaeleza nini sasa hapo kwa mfano ?🐒