Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Wazazi wanastahili pongezi kwa kukuleta tu duniani sio kazi rahisi.
 
Maneno matakatifu ya Mungu yanasema hivi mheshimu baba na mama yako ili uweze kuishi miaka mingi katika nchi akupayo Bwana Mungu wako . Wala usiwaze sana saidia kadiri ya uwezo wako shida kuna aina flani ya watu wana dependence syndrome zaidi zaidi kwa upande wa wanaume yaani hawa ndio wakati flani inawafanya hata watoto kuwachoka. Otherwise kijana wa sasa tengeneza future yako mwenyewe ili kesho usiwe kero kwa watoto wako , maana yote haya ni matokeo kuto kuivesti ukiwa kijana unajua ukiwa mtu ni mzee lakini una maviwanja, mashamba,majumba hata thamani yako kwa watoto wako inaongezeka, upende ukatae dunia ya sasa thamnani ya mtu ni kwa vile anavyo miliki nje na hapo utaonekana kero tu .
 
Wengine mtoto akiolewa mkwe utakiona cha mtema kuni yaani ni lazima kumtunza mkwe
 
Ukikosa dini umenyimwa kheri nyingi sana kwenye huu ulimwengu
 
Fanya lile unaloliweza kumsaidia mzazi wako! Lile usiloliweza liache.
Kwa mfano usiache kutunza familia yako kwa sababu ya Wazazi wako.
Kama bado wana nguvu wafanye lile wanaoliweza kujikimu na maisha.
Maandiko yanasema,Mtu atamwacha Baba na Mama naye ataambatana na mkewe,na si wawili tena bali ni Mwili mmoja,Mwanzo2:21-24
Lakini,
(Kutoka20:12)-Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
 
Hiyo Sasa ndio roho mbaya yaani eti kisa mtu mlevi ndio umbague usimpe mgao acheni roho mbaya nyie wazee ndio maana mnatelekezwa na watoto mfano hicho ulichoandika ndio ubaguzi wenyewe kifo huwezi kumondolea wewe mzazi kama kufa mtoto atakufa tu hata usipompa hela
 
Watoto 8 umekuwa mbwa au nguruwe😅
Wazazi wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa wanapiga kihiphop sio kama wa zama za 2000 kwenda mbele. Kukuta familia ina watoto saba na kuendelea lilikuwa jambo la kawaida.
Siku hizi hata familia zenye uwezo watoto 2, 3 wakizidi sna 4
 
Acha akili!
Kwaiyo ulitK amtegemee naniii

Kila mtu n ridhiki yake
Kuna watoto wananufaika na utajiri wa wazazi wao kwasababu walijipTa

Na kuna wazazi wananufaika na Utajiri wa watoto wao.

Kwaiyo ukijipata jua wanaonufIka n watu wako wa karibu
Akili Yako Ina mavi
 
When resources are limited, you allocate them to areas with the greatest potential for return.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…