FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama mzazi wako hajiwezi msaidie. Shida inakuja pale mzazi anapotaka umsaidie pesa ya kuongeza mke. Hapo sitoi hata 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa mzee wa kuwakazaMie nilishakufa toka majuzi...hapa nasaka wakwenda nao tuu...hasa hawa watoro wa form 4 b na wale first year na second year chuo wapenda iphone
Wamewekwa duniani tuwagegede mwanawane....usinivunge.Hahahaaaa mzee wa kuwakaza
Mtu kama huyu anaweza penda mke?Mmh mna maneno mazito kwa wazazi wenu, Mungu aiponye mioyo yenu....poleni
Kwani kuna aliyetaka kuzaliwa.Kuna mabao mengine wazazi ilifaa wapige nyeto tu
Wazazi wanapowaambia watoto" tafuta cha kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" ni mbinu ya kutumia maneno makali kuwahamasisha watoto wapambane kujitafutia maisha bora sio kuwa legelege kwani maisha sio lelemama na haimaanishi kumtelekeza mtoto au kumtweza. Nikupe mfano: Hebu fikiria baba yako 1987 alinunua redio cassette detachable-double speakers. Leo 2024 bado anayo halafu akaamua kwa upendo kabisa akakupa kuwa ni zawadi yako siku ya Harusi yako say Aug 2025. Je; si utasema "huyu mzee naye bhana! Kitu ni outdated kabisa ndo ameona aniachie? Mfano mwingine: Zipo Computers zile za mwanzo kabisa zikiitwa kwa jina la Mackintosh. Inachukua zaidi ya robo saa "kuamka". Hapo vipi, ukiikuta nyumbani na ni kati ya baadhi ya mali za wazazi wako utajivunia ukipewa kama urithi? Mfano wa mwisho: Umezaliwa kwenye jamii zetu hizi za wafugaji na ukakuta kuna kundi la ng'ombe. Mzazi wako akaamua siku unatoka jando akakuzawadia ng'ombe wawili jike 1 na dume 1. Hao ng'ombe 2 ni mali yako kabisa na hivyo utawajibika kuwahudumia e.g. Uwapeleke malishoni, unatakiwa uwalipie chanjo, Uwapatie matibabu wakiugua, uwafatilie wakipotea au kuibiwa n.k. Je; Utasema umepewa zawadi (urithi)au umepewa adhabu? Kumbuka hapo sasa manake Shuleni huwezi kwenda kwani nani akuchungie ng'ombe wako n.k. n.k Je, si umerithi ya wazazi wako hata kuongea tu kiswahili ni shida? Ndo mana ya Tafuta cha kwako.......i.e. Changamka, Pambana........Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"
Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..
Heri mie mjinga kuliko wewe dogiiiFanya kazi mjinga wewe usitegemee watoto
Aisee ,unapiga kwenye mshono ,ngoja mazee ya kupenda Kitonga yake kuporomosha matusi ya nguoniHuwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Hapo sawa nimekupata mkuu. Na kwa vyovyote vile wazazi wapumbavu lazima wazae katoto kapumbavu. Yaani hata kawe kakubwa katakuwa kapumbavu tuKwani kuna aliyetaka kuzaliwa.
Hao wazazi si walikuwa kwenye starehe zao za kunyanduana?
Sikiliza wewe hata wapumbavu huweza kuzaa watoto.
Na mtu kuwa "mzazi" si kigezo cha kwamba upumbavu wake huisha.
Mpumbavu ni mpumbavu tu, Hata awe mzazi bado atabaki mzazi mpumbavu.
Wewe unahasira za kutelekezwaNyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"
Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George.
Hilo nalo neno pia. Ila wapo wazazi kwa hekima zao wanweza kuona ukimpa huyu George mil 5 ni sawa na "umemuua"- huyo ni chapombee, ufuska, mgomvi sana na kubett. Lakini ukimpa huyu Peter hizo-hizo mil 5 "zitamfikisha" mbali- huyu ni mjasiriamali ila tu anakosa nguvu/mtaji. Kwa busara na upendo mkubwa kwa wote wawili, mzazi anamnyima George, anampa Peter.Inawezekana kweli sio mzazi wake maana kama mzazi wake kweli huwezi kuuza nyumba halafu ukagawa mgao ki makundi wengine wapate wengine wasipate
Hiyo ndo Tabia ya Mungu wa Mbinguni na hali kadhalika pia Mungu wa hapa duniani yaani Wazazi. Kwa hiyo hiyo ni Tabia ya Mungu.Kwanini anatelekeza mtoto baada ya kumzaa?? Kwanini anabagua watoto?? Anampa huyu, anamnyima yule??
Bro hapo mke ni kiazi tuMtu kama huyu anaweza penda mke?
Asking for my neighbor!
KONDOM INGESAIDIA KUEPUSHA HUU UPUUZIHuwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Acha akili!Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Nakuunga mkono.Mzazi msaidie kama una uweZo
Saidia ndugu
Saidia kila mtu kama una uweZo wa kusaidia
Ni heri kusaidia kuliko kusaidiwa
Akae na Mama yake mzazi kwa kutulia, na atamwambia ukweli wote,na yeye ndiyo ataenda kumuomba Baba yake Mzazi msamaha!!Kitendo Chako tu Cha kuleta hii mada huku "CONSCIOUS" yako inakusuta haupo sawa ..unatafuta sympathy ..pole sana.
Mkuu mbona umeposti zaidi ya mara moja kwenye uzi mmoja wakati hii siyo jadi yako.