Je; Kwa mzazi kufanya kitendo cha ubaguzi huo katika mgao kunamwondolea yeye kuwa mzazi wako na ww kuwa mtoto wake???
Ni kweli mtu wa 2015 na mtu huyo-huyo 2024 ni watu wawili tofauti kwa maana ya Umri, Hekima, Mang'amuzi (experiance &decision making) na Uzoefu(mapito mtu aliyopitia mema na mabaya). Kwa utofauti huo basi ninaamini George wa 2024 hawezi kufanya ujinga wa Gearge wa 2015.- Vinginevyo George wa 2024 atanekana ni kituko. Ndo mana watu wakaja na msemo ule "Penye wazee haliharibiki neno". kwa nini? "Wamekula chumvi nyingi"