Unaongea kwa vile hujui....nikuulize swali?Hata mbuzi wanazaa
Ninayo familia na wewe nijibu swali mbuzi hazaiUnaongea kwa vile hujui....nikuulize swali?
Je? Wewe ushaanza kuwa na familia yako, yaani kama baba wa familia na kiongozi.
Nimeshangaa,afu ni vitu tunaviacha hivi jamani, ubinafsi siyo kabisaHuna akili. Wewe kama umeangaika ukapata huwezi kuwasaidia wazazi wako?
Huwezi kuwa na familia makini ikiwa unafikira hizi....Ninayo familia na wewe nijibu swali mbuzi hazai
Mjibu yeye mwenyewe majibu hayo kama unawezaHizo ni shida zake sikumuomba anizae
Fanya kazi acha ujinga wa kukaa usubiri mtoto akulee acha kupenda mselelekoHezi kuwa na familia makini ikiwa unafikira hizi....
Risk ya uzazi hujui maana pengine wewe si mkunga wala si mwanamke.
Wewe unakojolesha tu na huwajibiki kama mzazi mwanaume ndiyo maana unasema tu.
Nimeshamjibu na Hilo analijuaMjibu yeye mwenyewe majibu hayo kama unaweza
Kesi imeishaNimeshamjibu na Hilo analijua
Kama vitu tunaviacha yeye mzazi anavitaka vya niniNimeshangaa,afu ni vitu tunaviacha hivi jamani, ubinafsi siyo kabisa
Kuna umri ukifika kama mzazi utalia na kusaga meno, umri wa kulelewa, wazungu wana alternative ya kuwatunza wazee.Fanya kazi acha ujinga wa kukaa usubiri mtoto akulee acha kupenda mseleleko
Safi sanaDalili namba moja kuwa wewe ni masikini ni kuzaa watoto wengi kwa lengo waje wakusaidie ilhali hujawajibika kwao kama baba, wabishi wengi wapo kwenye kundi hili.
Haulazimiki kusaidia mtoa mada bali ikikupendeza, haitakiwi kuwa kama deni kwako.
Fanya kazi wewe acha ujinga wa kutaka vitonga Kwa mtoto sababu mtoto nae anafamilia yake atakulea mpaka liniKuna umri ukifika kama mzazi utalia na kusaga meno, umri wa kulelewa, wazungu wana alternative ya kuwatunza wazee.
Kama tunasaidia wazazi wa wake zetu, ambao hata hawajui tam na chungu ya makuzi yetu, Iweje tushindwe kuwasaidia wazazi wetu?Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Acha ujinga sikuomba wanizae hivyo ni lazima watimize wajibu tena ikibidi walambwe viboko walishindwa kunilea ila Mimi sijawazaa sio lazima kuwapa pesa zanguSasa kama ulijitafuta ukajipata unalilia urithi wa nini? Vijana wa siku hizi wa kiafrika wamekaa kusubiria urithi tu hawataki kujituma na ikitokea wamejituma na wakafanikiwa wanabeza mchango wa wazazi wao kwao.
The fact kwamba tangu ulipozaliwa ulikuwa helpless na hivyo kuna wazazi/watu walikulea hadi ukaweza kujihudumia mwenyewe hupaswi kubeza juhudi zao. Kama baada ya kuzaliwa ulitupiwa porini ukiwa kichanga na ukakulia huko hapo sawa.
Kunyonyeshwa, kupewa chakula, kubebwa, kupewa ulinzi ukiwa mdogo, kupewa malazi, mavazi na kutibiwa na kupendwa inatosha sana. Elimu, Urithi, mtaji na mengine ni ziada ambazo kama hawakuweza ila umepambana mwenyewe ukaweza basi huwezi kubeza malezi yao kwako.
Akili Yako haipo sawa kama unafanya hivyoKama tunasaidia wazazi wa wake zetu, ambao hata hawajui tam na chungu ya makuzi yetu, Iweje tushindwe kuwasaidia wazazi wetu?