Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Ninayo familia na wewe nijibu swali mbuzi hazai
Huwezi kuwa na familia makini ikiwa unafikira hizi....
Risk ya uzazi hujui maana pengine wewe si mkunga wala si mwanamke.
Wewe unakojolesha tu na huwajibiki kama mzazi mwanaume ndiyo maana unasema tu.
 
Hezi kuwa na familia makini ikiwa unafikira hizi....
Risk ya uzazi hujui maana pengine wewe si mkunga wala si mwanamke.
Wewe unakojolesha tu na huwajibiki kama mzazi mwanaume ndiyo maana unasema tu.
Fanya kazi acha ujinga wa kukaa usubiri mtoto akulee acha kupenda mseleleko
 
Dalili namba moja kuwa wewe ni masikini ni kuzaa watoto wengi kwa lengo waje wakusaidie ilhali hujawajibika kwao kama baba, wabishi wengi wapo kwenye kundi hili.

Haulazimiki kusaidia mtoa mada bali ikikupendeza, haitakiwi kuwa kama deni kwako.
 
Safi sana
 
Kuna umri ukifika kama mzazi utalia na kusaga meno, umri wa kulelewa, wazungu wana alternative ya kuwatunza wazee.
Fanya kazi wewe acha ujinga wa kutaka vitonga Kwa mtoto sababu mtoto nae anafamilia yake atakulea mpaka lini
 
2 Timotheo 3:1-3
[1]Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.

[2]Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,

[3]wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema,
 
Amri ya nne inatuamuru waheshimu Baba na Mama Upate Miaka Mingi na Kheri Duniani.
 
Sasa kama ulijitafuta ukajipata unalilia urithi wa nini? Vijana wa siku hizi wa kiafrika wamekaa kusubiria urithi tu hawataki kujituma na ikitokea wamejituma na wakafanikiwa wanabeza mchango wa wazazi wao kwao.

The fact kwamba tangu ulipozaliwa ulikuwa helpless na hivyo kuna wazazi/watu walikulea hadi ukaweza kujihudumia mwenyewe hupaswi kubeza juhudi zao. Kama baada ya kuzaliwa ulitupiwa porini ukiwa kichanga na ukakulia huko hapo sawa.

Kunyonyeshwa, kupewa chakula, kubebwa, kupewa ulinzi ukiwa mdogo, kupewa malazi, mavazi na kutibiwa na kupendwa inatosha sana. Elimu, Urithi, mtaji na mengine ni ziada ambazo kama hawakuweza ila umepambana mwenyewe ukaweza basi huwezi kubeza malezi yao kwako.
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Kama tunasaidia wazazi wa wake zetu, ambao hata hawajui tam na chungu ya makuzi yetu, Iweje tushindwe kuwasaidia wazazi wetu?
 
Sasa kama ulijitafuta ukajipata unalilia urithi wa nini? Vijana wa siku hizi wa kiafrika wamekaa kusubiria urithi tu hawataki kujituma na ikitokea wamejituma na wakafanikiwa wanabeza mchango wa wazazi wao kwao.

The fact kwamba tangu ulipozaliwa ulikuwa helpless na hivyo kuna wazazi/watu walikulea hadi ukaweza kujihudumia mwenyewe hupaswi kubeza juhudi zao. Kama baada ya kuzaliwa ulitupiwa porini ukiwa kichanga na ukakulia huko hapo sawa.

Kunyonyeshwa, kupewa chakula, kubebwa, kupewa ulinzi ukiwa mdogo, kupewa malazi, mavazi na kutibiwa na kupendwa inatosha sana. Elimu, Urithi, mtaji na mengine ni ziada ambazo kama hawakuweza ila umepambana mwenyewe ukaweza basi huwezi kubeza malezi yao kwako.
Acha ujinga sikuomba wanizae hivyo ni lazima watimize wajibu tena ikibidi walambwe viboko walishindwa kunilea ila Mimi sijawazaa sio lazima kuwapa pesa zangu
 
Back
Top Bottom