Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #281
Kwahiyo ukimnyima hiyo pesa ndio hatokufaKwa maana hiyo unataka kusema ww ukiwa mzazi ; mtoto akililia wembe utampa? Mtoto wako anayetambaa akiufuata moto utamwacha afanye kama atakavyo? Unatakiwa ujifunze kufanya maamuzi kwa mambo makubwa kutokana na uzoefu unaopatikana katika mambo madogo. Kwa akili ya kawaida huwezi kuridhia kumpa mtoto m5 hata kama unajua ni haki yake huku ukijua fika kwamba kwa hizo m5 ndo umempa mwanao Umauti kwa mikono yako mwenyewe wewe mzazi. Asikudanganye mtu. Huo sio upendo.
Kwan wewe ulishishwa au uliomba kukaa hapa dunianiWewe jibu swali mtoto alikuomba umzae au kiherehere chako
Amri ya Nne ya Mungu: Waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani (Biblia; Kutoka 20: 12; Katekisimu jimbo Katoliki Moshi)Fanya lile unaloliweza kumsaidia mzazi wako! Lile usiloliweza liache.
Kwa mfano usiache kutunza familia yako kwa sababu ya Wazazi wako.
Kama bado wana nguvu wafanye lile wanaoliweza kujikimu na maisha.
Maandiko yanasema,Mtu atamwacha Baba na Mama naye ataambatana na mkewe,na si wawili tena bali ni Mwili mmoja,Mwanzo2:21-24
Lakini,
(Kutoka20:12)-Waheshimu baba yako na mama; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
Atakufa tu hilo halina ubishi lakini wewe kama mzazi, hutakuwa umechangia katika umauti wake.Kwahiyo ukimnyima hiyo pesa ndio hatokufa
Huna akili watoto wako wamekula hasaraAtakufa tu hilo halina ubishi lakini wewe kama mzazi, hutakuwa umechangia katika umauti wake.
Kivipi mkuu? Yan ninamwepushia balaa, madhila na umauti mwanangu halafu ww unaniambia eti nimekula hasara? Dah! Kazaae wakwako halafu ifike mahali wakudai urithi wao ilhali ww ukingali hai then uwape kwa sababu una akili.Huna akili watoto wako wamekula hasara
Sio nikazae ninao na nawapa uhuru wote ikiwemo pesa hizo akili za mtu mweusi Mimi sinaKivipi mkuu? Yan ninamwepushia balaa, madhila na umauti mwanangu halafu ww unaniambia eti nimekula hasara? Dah! Kazaae wakwako halafu ifike mahali wakudai urithi wao ilhali ww ukingali hai then uwape kwa sababu una akili.
Kuwapa uhuru na pesa huo ni msaada kama inavyotakiwa mzazi afanye kuwatunza watoto wake. Nimezungumzia mwanao kukudai Urithi wakati ww upo hai.Sio nikazae ninao na nawapa uhuru wote ikiwemo pesa
Kwangu kuwahudumia wazazi ni lazima sio ombi.Endelea kuwalea inaonekana hao walitimiza wajibu wao
Angekupigia Nyeto ungekuwepo we shukuru alitafuta mama ukazaliwa hiyo ndio shukran ya kwanza.Mzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
Nini hasara ya kutozaliwa??..Angekupigia Nyeto ungekuwepo we shukuru alitafuta mama ukazaliwa hiyo ndio shukran ya kwanza.
Usingekuwepo duniani fikiria furaha zote zile ambazo unazo bila kuzaliwa usingezipata.Nini hasara ya kutozaliwa??..
Utabarikiwa sana. Endelea hivyo.Kwangu kuwahudumia wazazi ni lazima sio ombi.
Kuna furaha gani Tanzania mkuu?? Dhiki kila mahali, CCM inazidi kuitafuna nchi wanakula na kusaza wao na watoto wao ilhali Mlalahoi anakula mara 2 tena kwa tabu sana..Usingekuwepo duniani fikiria furaha zote zile ambazo unazo bila kuzaliwa usingezipata.
Dah! Nasi hapa Jf tungelikosa michango yake iliyotukuka ya ushiriki wake kama asingelizaliwa. Anatakiwa awashukuru waliomzaa kwani ni kwa kuzaliwa kwake tumenufaika naye.Usingekuwepo duniani fikiria furaha zote zile ambazo unazo bila kuzaliwa usingezipata.
Hakika.Dah! Nasi hapa Jf tungelikosa michango yake iliyotukuka ya ushiriki wake kama asingelizaliwa. Anatakiwa awashukuru waliomzaa kwani ni kwa kuzaliwa kwake tumenufaika naye.
Usikwazike wala kukereheka mno kupita kiasi kwani hayo ni ya muda tu - yatapita.Kuna furaha gani Tanzania mkuu?? Dhiki kila mahali, CCM inazidi kuitafuna nchi wanakula na kisaza wao na watoto wao ilhali Mlalahoi anakula mara 2 tena kwa tabu sana..
Kwani yameanza leo mkuu wangu??..Usikwazike wala kukereheka mno kupita kiasi kwani hayo ni ya muda tu - yatapita.
Changamoto ndio maisha ya binadamu aliye hai it mean kama hauna changamoto you are dead.ndio maana umepewa utashi(akili),hekima ya kuyatatua hayo.Kuna furaha gani Tanzania mkuu?? Dhiki kila mahali, CCM inazidi kuitafuna nchi wanakula na kusaza wao na watoto wao ilhali Mlalahoi anakula mara 2 tena kwa tabu sana..