Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Ndiyo. Halafu Baadaye akipigika huko anarudi kwako kuomba ushauri wa wazee (Baba au mama).Kaa na pesa zako, heeee vipi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo. Halafu Baadaye akipigika huko anarudi kwako kuomba ushauri wa wazee (Baba au mama).Kaa na pesa zako, heeee vipi wewe
Hata leo nimemtumia kiroho safi kabisa ila sijawahi kuelewa why mama awe na wivu au chuki kwa mtoto aliyemzaa mwenyewe tena kwenye ndoa stable kabisa.
Amekulea inatosha kushukuru hapoHuwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Kuja kulalamika humu kuhusu wazazi wenu kuna tatizo sehemu. Kama mnalofanya ni jema msingetapatapa kuandika mabango marefu humu. Ajabu mitoto ya kiume ndio inaongoza kwa kulalamika kuhusu baba zao ni nadra kukuta kwa watoto wa kike.Wangepiga tu hiyo nyeto, Kwani walilazimishwa kuzaa?
Hamu zao za ngono ndio ziliwaponza, na sio kwamba walipenda sana kutuzaa! Tuache unafiki, huo ndio UKWERIIII.
Wengine walizaliwa kwa sababu baba na mama walikuwa wana hamu ya kutombana tu basssiiii
Cc: Nyani Ngabu Tlaatlaah Lucas Mwashambwa KENZY
Kuna siri nyingi sana kwenye mahusiano ya hao wazazi wawili ukizijua itakuumiza. Na ukitambua tafuta namna ya kuwasaidia.Hata leo nimemtumia kiroho safi kabisa ila sijawahi kuelewa why mama awe na wivu au chuki kwa mtoto aliyemzaa mwenyewe tena kwenye ndoa stable kabisa.
😂Kuna mabao mengine wazazi ilifaa wapige nyeto tu
Hata umtupe kama toilet paper, ndo aliyemwagia ukapatikana.Mzazi aliyenipambania mimi sina shida naye, ila yule aliyenitelekeza, nitamtupa mbali kama toilet paper..
Mimi roho kama yako sina kabisa mkuu Zitto. Mimi mama yangu alinifanyia dhuluma kubwa sana ya pesa nyingi na uwezo wa kunilipa alikuwa nao kwa maana alikuja kupata 70 millions baada ya kuuza nyumba yake moja.Hata leo nimemtumia kiroho safi kabisa ila sijawahi kuelewa why mama awe na wivu au chuki kwa mtoto aliyemzaa mwenyewe tena kwenye ndoa stable kabisa.
Bora asingenizaa kwa maana sikumuomba. Bora nimsaidie mtu Baki au rafiki aliyenisaidia kuliko mzazi aliyenitelekeza..Hata umtupe kama toilet paper, ndo aliyemwagia ukapatikana.
Alafu humu ndani watu wanasema "bila baba au umama usingekuwepo duniani". Kwani kuna mtu yoyote aliwalazimisha wanilete duniani au bila hao wazazi nisingezaliwa kwenye familia tofauti?Bora asingenizaa kwa maana sikumuomba. Bora nimsaidie mtu Baki au rafiki aliyenisaidia kuliko mzazi aliyenitelekeza..
Kweli inàbidi uwalaumu sana wazazi wako maana bila wao ungezàliwa familia tofauti. Labda saa hii ungekuwa mtoto wa Dangote unaogelea mahela tuu. Ona sasa unahangaika JF kukashfu màma yako eti kwàni kuna mimba iliwahi kubebwa mwezi mmoja.!Alafu humu ndani watu wanasema "bila baba au umama usingekuwepo duniani". Kwani kuna mtu yoyote aliwalazimisha wanilete duniani au bila hao wazazi nisingezaliwa kwenye familia tofauti?
Au utasikia alikubeba miezi 9 as if kuna mtoto aliwahi kubebwa mwezi mmoja tu.
This is purely ironic and sarcastic, umemng'ong'a kijanja, but the guy is right..Kweli inàbidi uwalaumu sana wazazi wako maana bila wao ungezàliwa familia tofauti. Labda saa hii ungekuwa mtoto wa Dangote unaogelea mahela tuu. Ona sasa unahangaika JF kukashfu màma yako eti kwàni kuna mimba iliwahi kubebwa mwezi mmoja.!
Una akili nyingi sàna wewe.
Mimi roho kama yako sina kabisa mkuu Zitto. Mimi mama yangu alinifanyia dhuluma kubwa sana ya pesa nyingi na uwezo wa kunilipa alikuwa nao kwa maana alikuja kupata 70 millions baada ya kuuza nyumba yake moja.
Mpaka sasa sijawasiliana naye miezi 18 (mwaka mmoja na miezi 6)
Kama wazazi wenu hawana umuhimu hakuna haja ya kuja kupunguzia stress humu. Piga kimya hukohuko acha kumhudumia hakuna haja ya sisi kujua. Ukilileta humu utaambiwa tu unapoenda tofauti.Alafu humu ndani watu wanasema "bila baba au umama usingekuwepo duniani". Kwani kuna mtu yoyote aliwalazimisha wanilete duniani au bila hao wazazi nisingezaliwa kwenye familia tofauti?
Au utasikia alikubeba miezi 9 as if kuna mtoto aliwahi kubebwa mwezi mmoja tu.
Wewe ni laana na janga kwa Taifa hili. Asie thamini wazee wake wa nyama na damu basi hatakua na heri kwa yeyote au nchi yake.Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
We ushawahi kubeba mimbaMaumivu ni makali lakini mwisho wa siku anabaki kuwa mama. Thamani ya pesa ambayo hajakulipa haifikii thamani ya muda aliotumia kubeba mimba yako miezi tisa. Haifikii thamani ya muda aliokuwa chumba cha kujifungua akiwa nusu hai nusu mfu. Haifikii thamani ya kukulea na kukunyonyesha mpaka ukakua angeweza kukutupa chooni. Mama hata awe kichaa ni mama yako huwezi mfananisha na mama mwingine.
Tafuta namna ya kumsaidia lakini asikuingize hasara. Kupigwa mizinga na wakina mama ni kawaida sana.
Sijawahi mkuu ila kwa kuwa wewe una experience ya kubeba mimba unaweza kuwa unajua hali ilivyo. Ila mimi nimeshuhudia wale wanaonihusu hali wanazopitia.We ushawahi kubeba mimba