SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Duuh, hii Kali sana mkuu. Pole sana brother. Mimi ninakumbuka wakati nipo mdogo kuna siku nimepakua ugali ile ninaenda tu katika sufuria la mboga aina ya Samaki, akakimbia fasta akalinyakua lile sufuria akakimbia nalo, mimi nikapakua tu mboga ya majani nikala, kesho asubuhi nikawahi shuleni. Nilikuwa secondary school..Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo,