Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo,
Duuh, hii Kali sana mkuu. Pole sana brother. Mimi ninakumbuka wakati nipo mdogo kuna siku nimepakua ugali ile ninaenda tu katika sufuria la mboga aina ya Samaki, akakimbia fasta akalinyakua lile sufuria akakimbia nalo, mimi nikapakua tu mboga ya majani nikala, kesho asubuhi nikawahi shuleni. Nilikuwa secondary school..
 
Tumejaribu Kushauri imekuwa ngumu. Nafikiri huo ni mpango mzuri. Wakataeni wazi ili wajue wanapambanaje na hali zao. Lakini kutoa pesa huku unajilalamisha haina afya kabisa. Julisha familia kuwa huyu sio baba au mama yangu na mwishowe ukoo usikutambue pia. It's simple
Sijawasiliana naye miezi 18 mpaka sasa. Hivyo anafahamu jinsi ninavyomchukia..
 
Kuna baadhi ya wazazi wenu kutokana na waliyopitia maishani wamepata matatizo ya akili hata kama kuna shughuli wanafanya kama binadamu wengine. Mama mzazi kumnyima chakula mtoto wa kumzaa si jambo la kawaida. Kaeni nao huenda mkawa msaada wa kuwasaidia badala ya kuwachukia. Wewe unaweza kuwa unamuona wa kawaida kumbe ni wa kusaidiwa kwenda mirembe au hospital za rufaa kusaidiwa ila awe kama binadamu wengine
Duuh, hii Kali sana mkuu. Pole sana brother. Mimi ninakumbuka wakati nipo mdogo kuna siku nimepakua ugali ile ninaenda tu katika sufuria la mboga aina ya Samaki, akakimbia fasta akalinyakua lile sufuria akakimbia nalo, mimi nikapakua tu mboga ya majani nikala, kesho asubuhi nikawahi shuleni. Nilikuwa secondary school..
 
Nimemdai face to face kisha ananiambia "SIKULIPI"

Umesoma comment number 361??..
Kwenye maisha tunakopesha watu na tunakopeshwa pia. Wengine tulifanikiwa kuwalipa na wengine hatukufanikiwa. Wengine walifanikiwa kutulipa na wengine hawakufanikiwa. Life goes on.
 
Yeye kazi yake kukukojoa Na Kukuleta Duniani Pambana usitafute wa Kumlaumu saidia Wazazu kadri uwezavyo Nikukumbushe Mafanikio yapo kwenye nyayo ya Mzazi
 
Nyie vijana WA miaka hii ambao mnajikuta mna fikra na mawazo ya kizungu ilihali mmezaliwa na kukulia humu humu kwenye nchi maskini za Dunia ya tatu, Huwa mna matatizo sana na hamna akili hata kidogo pamoja na kwamba shule mmeenda.
 
Bora asingenizaa kwa maana sikumuomba. Bora nimsaidie mtu Baki au rafiki aliyenisaidia kuliko mzazi aliyenitelekeza..
Bora ujinyonge ufe, alafu uzaliwe tena na baba mwingine, hapo ndiyo utakua umemkomoa Baba yako mzazi, lakini kama bado una dunda na Urithi wake wa damu yake utakua huja fanya kitu, maana hata hao watoto utakao zaa bado watakua ni mwendekezo wa Urithi wa damu ya baba yako!!
 
Kujiua ni kwa waoga tu kama hao wanaodhulumu watu wengine, and not for me..
 
Bora ujinyonge ufe, alafu uzaliwe tena na baba mwingine, hapo ndiyo utakua umemkomoa Baba yako mzazi, lakini kama bado una dunda na Urithi wake wa damu yake utakua huja fanya kitu, maana hata hao watoto utakao zaa bado watakua ni mwendekezo wa Urithi wa damu ya baba yako!!
Kamwe siwezi kumsaidia mtu yeyote yule aliyewahi kunifanyia dhuluma katika maisha yangu..
 
Kwenye maisha tunakopesha watu na tunakopeshwa pia. Wengine tulifanikiwa kuwalipa na wengine hatukufanikiwa. Wengine walifanikiwa kutulipa na wengine hawakufanikiwa. Life goes on.
Sasa ndio mtu akwambie kwa jeuri kabisa eti "SIKULIPI" pesa yenyewe nilisotea sana porini katika mashamba ya mzungu.. full vumbi kila pahala..
 
Kwani wanalazimishwa? Si ndio formality ni sawa na walimu wetu waliokua wanatuambia "mimi nimeacha mke wangu nije kuwafundisha". Ilihali analipwa mshahara!!

Tunachoongelea hapa ni wazazi wanaochukua watoto wao kuna haja gani ya kunibeba miezi 9 alafu ukinizaa hutaki nifanikiwe. Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo, kwahiyo kutunza miezi 9 huku pengine hakupendi haina maana angetoa mimba tu
Mama yako nae alikua na hasira kwa baba yenu,alafu kwa umasikini wake wa akili,zile hasira zote akahamishia kwenu, hakuna Mama mwenye akili timamu anaemnyima watoto wake chakula!!
 
Hauna first-hand experience katika haya ambayo mimi na zitto junior tunasimulia ndio maana unaona kama vile tunachekesha..
 
Sasa ndio mtu akwambie kwa jeuri kabisa eti "SIKULIPI" pesa yenyewe nilisotea sana porini katika mashamba ya mzungu.. full vumbi kila pahala..
Hapa ndiyo nimejua chanzo cha tatizo lako, ni umasikini mkubwa ulioko ndani ya familia yenu umewafanya wote mkawa na roho mbaya, maana kitu kama pesa ni kitu cha kupita tu!!
 
Yes inaumiza. Ila siamini kama unamchukia una hasira naye tu. Hilo ni jambo la kawaida kukerwa na wale wanaotuumiza.

Kama unamchukia na hutaki kumuona peleka mashtaka kwenye vyombo vya sheria afunguliwe kesi ya madai na utapeli
 
Mama yako nae alikua na hasira kwa baba yenu,alafu kwa umasikini wake wa akili,zile hasira zote akahamishia kwenu, hakuna Mama mwenye akili timamu anaemnyima watoto wake chakula!!
Sema na wewe!. Mzazi yeyote anayenyima chakula mtoto ana matatizo ya akili
 
Hapa ndiyo nimejua chanzo cha tatizo lako, ni umasikini mkubwa ulioko ndani ya familia yenu umewafanya wote mkawa na roho mbaya, maana kitu kama pesa ni kitu cha kupita tu!!
Laiti kama ningekuwa tajiri nisingeidai pesa ile. Upo sahihi..
 
Yes inaumiza. Ila siamini kama unamchukia una hasira naye tu. Hilo ni jambo la kawaida kukerwa na wale wanaotuumiza.

Kama unamchukia na hutaki kumuona peleka mashtaka kwenye vyombo vya sheria afunguliwe kesi ya madai na utapeli
Sawa mkuu..
 
Back
Top Bottom