Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #281
Kwahiyo ukimnyima hiyo pesa ndio hatokufaKwa maana hiyo unataka kusema ww ukiwa mzazi ; mtoto akililia wembe utampa? Mtoto wako anayetambaa akiufuata moto utamwacha afanye kama atakavyo? Unatakiwa ujifunze kufanya maamuzi kwa mambo makubwa kutokana na uzoefu unaopatikana katika mambo madogo. Kwa akili ya kawaida huwezi kuridhia kumpa mtoto m5 hata kama unajua ni haki yake huku ukijua fika kwamba kwa hizo m5 ndo umempa mwanao Umauti kwa mikono yako mwenyewe wewe mzazi. Asikudanganye mtu. Huo sio upendo.