Eheeeeeee umejitaja tena.Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"
Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..
Wwe mwenyewe ni sehemu ya vitu vya wazazi wako,maana wao ndiyo walikutafuta,kwa hiyo huna ujanja wwe pia ni mali yao!!Atafute vya kwake kama ambavyo wanatuambiaga sisi..
Waambie SSIT wakupe dossier yangu. Si mnasemaga humu kila siku kuwa mna files zangu huko ofisini kwenu..Kwa hiyo wwe umelelewa kituo cha watoto yatima!?
Utapata laana...Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Mimi ni Mali ya Mungu pekee..Wwe mwenyewe ni sehemu ya vitu vya wazazi wako,maana wao ndiyo walikutafuta,kwa hiyo huna ujanja wwe pia ni mali yao!!
Huu ndio unyonyaji tunaouzungumzia mtu anatumia kigezo Cha uzazi kumfanya mtoto mtumwaBaba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Nakazia hoja. Inaonekana huyo unayemjibu bado ni "chalii" hajitambui na anashindwa hata kujua kwamba uhai alionao amegawiwa na wazee wake. Anataka urithi gani zaidi???. Mavijana ya ck hizi! shida kweli-kweli. Hapo ndo inafikia wakati unmsikia mzazi akisema "Siku niliyokuzaa niliipoteza bure, bora hata ningelienda shambani"Kuwa oyaone, ndio utashagaa 9 kuitwa kenda...
Endelea kuona wazee wako hawastahili msaada wako kwa kuwa tu haujaridhi chochote toka kwao.
Hamna kitu hapoUtapata laana...
...Ni Hayo Tu!!
Jinga sana wewe hamna binadamu anaetoa uhai wa mtu wewe itakua kubwa jingaNakazia hoja. Inaonekana huyo unayemjibu bado ni "chalii" hajitambui na anashindwa hata kujua kwamba uhai alionao amegawiwa na wazee wake. Anataka urithi gani zaidi???. Mavijana ya ck hizi! shida kweli-kweli. Hapo ndo inafikia wakati unmsikia mzazi akisema "Siku niliyokuzaa niliipoteza bure, bora hata ningelienda shambani"
Mtolee uvivu huyo asikuzoee u badili simcard..Baba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Hahaha majitu yanaandika kirahisi tu unakuta mtoto umekulia shida basi katika kujitambua umejitafuta tena sehemu nyingine umepita za hatari halafu mzazi anataka kula pesa zako kibabe kama amezitafuta yeyeWaliotoa comment wonte vizibo ni wajinga.maisha yako amua wewd kama wewe .me na watoto wananitegemea na mke na wakwe pia.wewe mzazi kunguru ujana wako uliutumia aje mpaka uje kua mzigo wa mavi kwangu.pumbafu kufa nikuzike usinipe stress
Muwezeshe mzazi kwa kiwango unachoweza sio lazima umfanyie makubwa sana. Huenda hahitaji hayo yoteHuu ndio unyonyaji tunaouzungumzia mtu anatumia kigezo Cha uzazi kumfanya mtoto mtumwa
ItabidiMtolee uvivu huyo asikuzoee u badili simcard..
πππππFanya kazi acha kupenda Ganda la ndizi kusubiri watoto wajipate uende kuwanyonya we mzee jinga sana
Yaani ni mzigoBaba kwa matesi nayopata kuna muda hua naomba mzazi afe tu nimzike nipumzike
Daah pole sana mwana. Wanakera sana wale watu..Baba kwa matesi nayopata kuna muda hua naomba mzazi afe tu nimzike nipumzike
Mshahara mdogo, mtu unajibana ila bado hawana shukrani..Itabidi
Nifanye ivo