Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Eheeeeeee umejitaja tena.Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"
Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..