Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Utapata laana...

...Ni Hayo Tu!!
 
Baba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Huu ndio unyonyaji tunaouzungumzia mtu anatumia kigezo Cha uzazi kumfanya mtoto mtumwa
 
Kuwa oyaone, ndio utashagaa 9 kuitwa kenda...
Endelea kuona wazee wako hawastahili msaada wako kwa kuwa tu haujaridhi chochote toka kwao.
Nakazia hoja. Inaonekana huyo unayemjibu bado ni "chalii" hajitambui na anashindwa hata kujua kwamba uhai alionao amegawiwa na wazee wake. Anataka urithi gani zaidi???. Mavijana ya ck hizi! shida kweli-kweli. Hapo ndo inafikia wakati unmsikia mzazi akisema "Siku niliyokuzaa niliipoteza bure, bora hata ningelienda shambani"
 
Waliotoa comment wonte vizibo ni wajinga.maisha yako amua wewd kama wewe .me na watoto wananitegemea na mke na wakwe pia.wewe mzazi kunguru ujana wako uliutumia aje mpaka uje kua mzigo wa mavi kwangu.pumbafu kufa nikuzike usinipe stress
 
Jinga sana wewe hamna binadamu anaetoa uhai wa mtu wewe itakua kubwa jinga
 
Hivi unalazimishwa kusaidia huyo mzazi wako? au ni kwa hiyari yako mwenyewe?

Kuna haja gani ya kumsaidia mzazi wako sambamba na manung'uniko na malalamiko chungu nzima!! Kama unajiona kauzu si unakausha tu halafu uone hiyo nafsi yako kama itasuuzika.

Ukute Malaya unawahonga pesa kibao! Ujana una mwisho wake na fainali ni uzeeni.
 
Baba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Mtolee uvivu huyo asikuzoee u badili simcard..
 
Waliotoa comment wonte vizibo ni wajinga.maisha yako amua wewd kama wewe .me na watoto wananitegemea na mke na wakwe pia.wewe mzazi kunguru ujana wako uliutumia aje mpaka uje kua mzigo wa mavi kwangu.pumbafu kufa nikuzike usinipe stress
Hahaha majitu yanaandika kirahisi tu unakuta mtoto umekulia shida basi katika kujitambua umejitafuta tena sehemu nyingine umepita za hatari halafu mzazi anataka kula pesa zako kibabe kama amezitafuta yeye
 
Back
Top Bottom