Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Huyo Mungu wako ndio aliyekuchagulia hao WAZAZI fualaaa wewee.... Bora angekuchagulia WAZAZI kitimoto ukazaliwa guruwe....Mjinga wewe urithi wa Mimi kuwepo kanipa mungu sio mzazi
Yeye mbona anataka Ganda la ndizi kwenye pesa ambazo sio zakeAmekulea ukajitafute sio akupe magunia ya pesa, yeye jukumu lake lilikuwa kukulea unataka urundikiwe mapesa?
Bora kuzaliwa nguruwe ila sio mzazi mjinga ambae anataka umasikini wake ammbebeshe mzigo mtotoHuyo Mungu wako ndio aliyekuchagulia hao WAZAZI fualaaa wewee.... Bora angekuchagulia WAZAZI kitimoto ukazaliwa guruwe....
Hizo ni hasira za kulelewa kikekike ..... Nakuelewa sana mama..... Mwanaume hawezi kuwa na kinyongo kama Chako... Unless umepumbazwa na mama yako ....Fanya kazi wewe acha kutaka Ganda la ndizi wa watoto utaolewa
Naam! Naweza kuwa kubwa jinga lakini ukweli utabaki kuwa UKWELI kwamba genetically (Biologically) wewe ni matokeo ya "kitendo" baina ya baba na mama yako. Hao wawili wasingejichanga nusu baba + nusu mama; wewe usingelikuwepo leo hapa duniani na kutoa maneno ya kifedhuli hivi. Mbona unakufuru kana kwamba ungeweza kujileta duniani i.e. kuwa Hai, Kujiumba na kujizaa mwenyewe? Kumbuka wapo wenye hekima waliowahi kusema Wazazi wako ndo Mungu wako wa hapa duniani -wakikubariki utabarikiwa na wakikulaani utalaanika. Hujawahi kusikia hilo? Tafakari heshima wanayostahili wazazi wako. Usijitutumue na kujiona mjanja hata kidogo mbele ya wazazi wako hata kama wamekuwa na mapungufu mengi kiasi gani.Jinga sana wewe hamna binadamu anaetoa uhai wa mtu wewe itakua kubwa jinga
Hapana. Alikuleta kwa Upendo. Unaonaje kama ilipotungwa mimba yako mama yako na baba yako wangelikubaliana kwenda kuiflash? Wamekuwa wavumilivu kwako kukulea/kukutunza kama kitu chenye thamani kubwa hadi leo hii umekuwa mtu mzima halafu unawageukia na kuwatupia madongo vile?Vipi nilimuomba anilete duniani
Ingekua vizuri zaidi maana duniani ni mateso tu mwisho wa siku kidogo ila wao walifanya ujinga wao kunileta duniani Kuna kutesekaHapana. Alikuleta kwa Upendo. Unaonaje kama ilipotungwa mimba yako mama yako na baba yako wangelikubaliana kwenda kuiflash? Wamekuwa wavumilivu kwako kukulea/kukutunza kama kitu chenye thamani kubwa hadi leo hii umekuwa mtu mzima halafu unawageukia na kuwatupia madongo vile?
Umaskini huwa unaambukizwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, na hii uliyoizungumza hapa ni njia moja wapo ya kuambukiza umaskini, ukitokea kwenye familia ya namna hiyo usipokua makini hautafanya la maana, kwa maana watu wengi ambao huwa hawanaga hata kambuzi ka urithi huwa wanachelewaga kidogo kujipata.Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Ni ushauri mzuri huo. Ni sawa na kujisetiri/kujificha mvua kwenye pagale ambalo hukulijenga wewe halafu baadaye mvua ikikatika unachojoa boxer unakunya hapo na kuondoka eti mvua imeishaUngegoma Sasa kuzaliwa ..... Ficha ujinga wako mara moja moja....
Kutunza mzazi sio jukumu ni busara tu.Tunza mzazi wako acha kukwepa majukumu.
Wewe ni mbuzi eeh!Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la nndi
Aseee kunakitu akipo Sawa kwenye iyo familiaEmbu msituletee umagharibi hapa; mama yako kakuzaa kwa uchungu na baba yako alijikaza asihonge malaya au kunywea hela zote ili akulee , ulijinyea na wakawa wanapambana na kinyesi chako, ulikuwa unalia usiku mzima na wakakuvumilia na asubuhi na usingizi wote walitoka kwenda kupambana kwa niaba yako
Leo hii kisa na wewe unaweza zaa au kuzalisha unajiona umeshuka toka mbinguni kwa nguvu za roho mtakatifu
Kwa utamaduni wetu utaonekana ni mtu wa ajabu sana ukisema utoe haya mawazo uliyoyaandika kwenye huu uzi mbele ya hadhira
Unakumbuka akiwa na Umri Gani Huyo Mtoto aliambiwa atafute chake asitegemee urithi?Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"
Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..