Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Huyo Mungu wako ndio aliyekuchagulia hao WAZAZI fualaaa wewee.... Bora angekuchagulia WAZAZI kitimoto ukazaliwa guruwe....
Bora kuzaliwa nguruwe ila sio mzazi mjinga ambae anataka umasikini wake ammbebeshe mzigo mtoto
 
Jinga sana wewe hamna binadamu anaetoa uhai wa mtu wewe itakua kubwa jinga
Naam! Naweza kuwa kubwa jinga lakini ukweli utabaki kuwa UKWELI kwamba genetically (Biologically) wewe ni matokeo ya "kitendo" baina ya baba na mama yako. Hao wawili wasingejichanga nusu baba + nusu mama; wewe usingelikuwepo leo hapa duniani na kutoa maneno ya kifedhuli hivi. Mbona unakufuru kana kwamba ungeweza kujileta duniani i.e. kuwa Hai, Kujiumba na kujizaa mwenyewe? Kumbuka wapo wenye hekima waliowahi kusema Wazazi wako ndo Mungu wako wa hapa duniani -wakikubariki utabarikiwa na wakikulaani utalaanika. Hujawahi kusikia hilo? Tafakari heshima wanayostahili wazazi wako. Usijitutumue na kujiona mjanja hata kidogo mbele ya wazazi wako hata kama wamekuwa na mapungufu mengi kiasi gani.
 
Vipi nilimuomba anilete duniani
Hapana. Alikuleta kwa Upendo. Unaonaje kama ilipotungwa mimba yako mama yako na baba yako wangelikubaliana kwenda kuiflash? Wamekuwa wavumilivu kwako kukulea/kukutunza kama kitu chenye thamani kubwa hadi leo hii umekuwa mtu mzima halafu unawageukia na kuwatupia madongo vile?
 
Hapana. Alikuleta kwa Upendo. Unaonaje kama ilipotungwa mimba yako mama yako na baba yako wangelikubaliana kwenda kuiflash? Wamekuwa wavumilivu kwako kukulea/kukutunza kama kitu chenye thamani kubwa hadi leo hii umekuwa mtu mzima halafu unawageukia na kuwatupia madongo vile?
Ingekua vizuri zaidi maana duniani ni mateso tu mwisho wa siku kidogo ila wao walifanya ujinga wao kunileta duniani Kuna kuteseka
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Umaskini huwa unaambukizwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, na hii uliyoizungumza hapa ni njia moja wapo ya kuambukiza umaskini, ukitokea kwenye familia ya namna hiyo usipokua makini hautafanya la maana, kwa maana watu wengi ambao huwa hawanaga hata kambuzi ka urithi huwa wanachelewaga kidogo kujipata.

Na ukianza kujipata, kabla hujatengamaa unakutana na wale wadogo zako unatakiwa uwasomeshe, wadogo wa mkeo (kama unae na anao) pamoja na watoto wako mwenyewe, bila kusahau huyo mshua ambae umemzungumzia hapo.

Kwahiyo utaishi maisha yote kutafuta stability ya kiuchumi hutaweza kuipata wala, hatimae na wewe utazeeka utawategemea watoto zako wakubwa wakusaidie kama ambavyo Mzee wako alikutegemea wewe, kwahiyo mnaendelea kuambukizana umaskini kizazi na kizazi.

Anyway, tunachokipata tugawane na wenzetu aisee, kwanza hela zenyewe hatuja zaliwa nazo na hata hatukufi nazo wala so wacha mshua ale vya mwanae akimaliza anakupa wewe hiko kijiti ili ule za mwanao na wewe ukimaliza unampa mwanao ale za mwanae na hii loop ni infinity 😂😂😂.
 
Ungegoma Sasa kuzaliwa ..... Ficha ujinga wako mara moja moja....
Ni ushauri mzuri huo. Ni sawa na kujisetiri/kujificha mvua kwenye pagale ambalo hukulijenga wewe halafu baadaye mvua ikikatika unachojoa boxer unakunya hapo na kuondoka eti mvua imeisha :KEKBye: .
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Wewe ni mbuzi eeh!
Ulinyonya matak Yako Hadi ukakua?
Kipimo changu Cha Kujitafuta kiliishia hapo ulipofikia ukawa na Akili ya kujitegemea.
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la nndi

Naamini kuna shida kwenye kuzaliwa kwako na malezi yako,,inawezekana kuna makosa ya kujua au kutokujua yaliyofanywa na wazazi wako.

Hata hivyo msaada ni sehemu ya maisha ya wanadamu na kila mtu kuna wakati hua anakihitaji pamoja na wewe.
 
Kwa wazazi wanaofanya kazi mijini toka ujanani ndani ya kipindi cha miaka yao ya 40 kuelekea umri wa kustaafu ni kipindi cha kuweka akiba ya kujitunza uzeeni. Wazazi wasio na ajira zenye kueleweka na wamepigania watoto wao kielimu hawana budi kutunzwa na hao watoto kipindi watoto hao wamejipata ukubwani.
 
Embu msituletee umagharibi hapa; mama yako kakuzaa kwa uchungu na baba yako alijikaza asihonge malaya au kunywea hela zote ili akulee , ulijinyea na wakawa wanapambana na kinyesi chako, ulikuwa unalia usiku mzima na wakakuvumilia na asubuhi na usingizi wote walitoka kwenda kupambana kwa niaba yako

Leo hii kisa na wewe unaweza zaa au kuzalisha unajiona umeshuka toka mbinguni kwa nguvu za roho mtakatifu

Kwa utamaduni wetu utaonekana ni mtu wa ajabu sana ukisema utoe haya mawazo uliyoyaandika kwenye huu uzi mbele ya hadhira
Aseee kunakitu akipo Sawa kwenye iyo familia
 
Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"

Yaani unitelekeza alafu nikutunze, labda kama sio mimi George..
Unakumbuka akiwa na Umri Gani Huyo Mtoto aliambiwa atafute chake asitegemee urithi?
Tayari ameisha maliza masomo, ana degree,,,,,ila Bado anazurura home.
Anakula, analala Hadi saa sita mchana.
Na mzazi ukizubaa utashangaa Binti anamimba au kijana anakuletea demu Wake mwenye Mimba hapohapo home.
Ajira hakuna ila hata Ubunifu huna🙄
Hapo ndipo mzazi Huja na maneno ya kutoa chachu ili kuamsha Akili za kijana au Binti.
 
Back
Top Bottom