Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

"Hivi INAKUAJE mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja"​

Nadhani hapa ungeweka sawa kichwa cha habari, "inawezekanaje mzazi uliyetelekeza familia ukataka msaada kutoka kwa hao uliyowatelekeza baada ya kukua na yy kuzeeka".

Mzazi ni Mungu wa pili katika hii dunia hata ile kukuleta tu duniani yafaa umshukuru, na kushukuru ni pamoja na kumtunza wakati wa yy hana nguvu tena za kufanya hivyo. Usilipe ubaya kwa ubaya, kila jambo hutokea kwa sababu hata ww kutelekezwa kulikuwa na sababu nyuma ya pazia ambayo hukuwekwa bayana.

Nadhani kila mtu na afanye kwa sehemu yake bila kushurutshwa na mtu, si lazma ufanye kwa ukubwa hata kwa kidogo utapata baraka. Na katika yote tambua soote huzeeka na mwisho tunahitaji msaada hata kama ww ni tajiri, kuna vitu pesa haiwezi fanya.
 
Hivi unalazimishwa kusaidia huyo mzazi wako? au ni kwa hiyari yako mwenyewe?

Kuna haja gani ya kumsaidia mzazi wako sambamba na manung'uniko na malalamiko chungu nzima!! Kama unajiona kauzu si unakausha tu halafu uone hiyo nafsi yako kama itasuuzika.

Ukute Malaya unawahonga pesa kibao! Ujana una mwisho wake na fainali ni uzeeni.
Fanya kazi usinyonye watoto
 
"Hivi INAKUAJE mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja"​

Nadhani hapa ungeweka sawa kichwa cha habari, "inawezekanaje mzazi uliyetelekeza familia ukataka msaada kutoka kwa hao uliyowatelekeza baada ya kukua na yy kuzeeka".

Mzazi ni Mungu wa pili katika hii dunia hata ile kukuleta tu duniani yafaa umshukuru, na kushukuru ni pamoja na kumtunza wakati wa yy hana nguvu tena za kufanya hivyo. Usilipe ubaya kwa ubaya, kila jambo hutokea kwa sababu hata ww kutelekezwa kulikuwa na sababu nyuma ya pazia ambayo hukuwekwa bayana.

Nadhani kila mtu na afanye kwa sehemu yake bila kushurutshwa na mtu, si lazma ufanye kwa ukubwa hata kwa kidogo utapata baraka. Na katika yote tambua soote huzeeka na mwisho tunahitaji msaada hata kama ww ni tajiri, kuna vitu pesa haiwezi fanya.
Vipi nilimuomba anilete duniani
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Kwa kweli Ugonjwa wa akili upo .....
 
Kwenye swala la mzazi hapo umegusa mahali pa baya weka mbali ma watoto..huwezi kuwa na amani ya moyo mzazi wako anaangaika halafu wewe pesa unayo niporadhi niuze hata nguo yangu ya ndani kutatua shida yake.
Endelea kuwa mtumwa mwisho wa siku unateseka Kwa ajili ya kulea mzazi unaenda kuiba watu wanakugonga unakufa
 
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda
Atafute vya kwake kama ambavyo wanatuambiaga sisi..
Upandacho ndicho utavuna.
Ukijiona una nguvu usifikiri utakuwa nazo siku zote, kuwa mnyenyekevu.

Hata watu baki husaidiwa, ikiwa una uwezo unaachaje kumsaidia mzazi wako kama ana uhitaji?!!!
 
k
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
kama ushajipata tyr jisikie faraja kuwahudumia kijana mwenzangu Acha kulipa kisasi kwa mzazi mhudumie labda km bado unajitafuta km huna basi ukipata sawa unampa
 
Kuwa oyaone, ndio utashagaa 9 kuitwa kenda...
Endelea kuona wazee wako hawastahili msaada wako kwa kuwa tu haujaridhi chochote toka kwao.
Mtoto ya hivyo ndio yanapanga mipango na makora kuwaibia na kuwaua WAZAZI wao ... Haelewi kuwa hata huo uwepo wake tu ni urithi tosha ...hiyo afya yake ni urithi tosha elimu yeyote Ile iwe ya Dunia ya kitaa aliyonayo ni urithi tosha... Kuna watoto ni Bora WAZAZI wao wangetumia kondom tu kuliko kuleta wananchi wajinga kam "huyu" mtoto... Kutuomgezea tu Idadi ya wajinga.
 
Mjinga wewe urithi wa Mimi kuwepo kanipa mungu sio mzazi
 
Back
Top Bottom