Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Muombe hela ili maisha yako yaende vizuriNipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha.
Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi.
Nimekuwa nikiumiza sana kichwa kwamba inanipasa kumtumia mzee percent ya kipato changu kwasababu tu ni mzazi ama nikaushe niweke akiba inisukume kwenye harakati zangu