ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Inaweza kufikia huko. Huwezi kuua kila Mtanzania, Polisi, Mwanajeshi, Usalama halafu unacheka.Amewatisha tu unadhan hajui hawatakuwepo hapo home nadhan kamaanisha kuwa anaweza lipiza kisasi kwa wanae muda wowote
Asante mkuuYaani ujoka wa kibisa ndio uimara, we fala kweli!
Nimeelezea kwa namna ya uncertainty....hivyo mimi nawewe hatujui kwanini hawakutusaidiaMuundo una umuhimu gani kama hautimizi lengo la kuwepo hili jeshi!?
km dini inaweza kuwa na watu wakatili na wajinga km anavyofanya huyu na wenzake hawawezi kumwambia, hiyo dini ni ya shetani..ukibaki kwenye hiyo dini utakuwa ni ujinga wako mwenyewe!Na sisi tunajua hii vita yenu na uyu mama ni sbbu ya dini yake tu hamjawai kuacha izo fitna miaka na miaka ndo maana na sisi tunamuunga mkono mbali na kua hatuipendi ccm,
Ngoja aje mkatoliki mwenzenu 2030 tuta wasapoti kumtoa.
Kuna vitu atabaki kuwa siri yake. Mmeteka dada yake,mmevamia familia yake, dada yake, mama yake miitaka kuwadhuru.Anatafuta Kiki tu yule. Anadai Humphrey ana mke na watoto? Toka lini?
Mlitaka kumteka dada,mama yeye, familia nzima angekuwa Tanzania.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Ngano za kaleNimesikia fununu uwe na familia au huna wote kambini kutoka kwa kibali yaelekea mambo sio shwari mpka hivi sasa tujihadhari kwa kuweka vitu ndani kwa matumizi yetu/familia/ndugu jamaa na marafiki wahitaji pia
Tafuta kiki na wewe kuipinga serikali kwa udhalimu kwa jina lako na makazi yako.Anatafuta Kiki tu yule. Anadai Humphrey ana mke na watoto? Toka lini?
Mtu mweusi anamatatizo sana yaani unampiga raia risasi kisa kulinda jizi linalokula mabilioni ya pesa kupitia jasho la huyo raia unayempiga risasiIla kweli dah kama watu wanameba mabillion za wananchi alafu watu wanajaribu kupinga UFIDADI huu alafu Askari wanachapa watu Risasi hovyo na misharaha Yao ya nyanya askri polisi na wajitafakari sana waaache kutumika vibaya kuchota laana za mauaji wanaofaidi ni first class citizens ,kiukweli kazi za majeshi kwanza ukabali kutotumia ubongo / akili ndio ufanye.
Ukatili wa magufuli ni kushughulikia majizi basi huo ni ukatili mzuri sanaKasome kitabu cha in the name of president hakuna malaika katili ivyo
Kuna taarifa kuwa Askari watapewa Silaha mpya, na tayari zipoKuna loading>>>>>> inakuja tanzania unajua mpaka sasa mkuu wa majeshi na alichofanya nyerere kambi za jeshi kutotambuana ndio kinamfanya samuya na mkuu wa majeshi kuishi dodoma
Huelewi nini? Utekaji. Utesaji, mauaji. Ufisadi?Hata sielewi.
Yeah ni kweli mkuu ,mimi huwa sipendi kuandika issue za propaganda ,kama kitu sikijui siwezi kuwaingiza watu chaka ,natoa taarifa kwa wahusika wenyewe.Hili la kutokutoka makambini kwao ni kweli kabisa. Walipewa tangazo
Yes kuna mmoja alipokonywa bunduki alafu akasakiziwa kwa raia
Watu wangefanikiwa kuvuka mwembechai kazi ilikuwa inakamilika ila pale ndo barrier ya wauwaji ilikuwapo so lile gari la jeshi ikabid lipitilize tu na kuwaacha wandamanaji nyuma walikula shaba za kutoshaYeah ingawa watu tulitegemea JWTZ wamalize mchezo mapema sema ndiyo hivyo wametuangusha ingawa baadhi walifanya vizuri kutetea raia wasiuawe hovyo hovyo otherwise vifo vinge tripple.