Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Kila kitu kina mwisho. Kaburu aliikalia SA kwa zaidi ya miaka 300. Leo ni historia. Kwa hali halisi ccm ishajifia. Ndio maana wamefanya uchaguzi wa kimbwa kabisa.
Hata huko kwenye jeshi kuna watu hawaridhishwi na jinsi nchi inavyoendeshwa...
 
Sasa hivyo vitendo angevifanyia kule NATO ? ,si mpaka aje field!!!
 
Scouser unawakandia JW mpaka bac πŸ˜‚
 
Huenda kweli ni mwanajeshi au anatumwa na wanajeshi
 
Walishamuua au unatamani iwe hivyo.

Inakuuma sana na kuna Uzi mwingine ulikuwa unashangilia.
Huyu kifo chake anastahili maana hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakutoa taarifa za ndani muhimu kama nani alimpiga risasi Tundu Lissu. Angekuwa na roho ya kutubu hituba yake ya kwanza ingekuwa katiba mpya. Mbadala yake alikuwa anapambana wabadilishe mgombea na waingie katika uchaguzi.System aliyokuwa anaisifia ndio iliyomuuua.
 
Asa unachojidai unahuzunika nini ?

Usiwe mnafki
 
Huyo ni bro wake na polepole
hapigi mikwara ATAKIWASHA Hayo maeneo tajwa

Show show hakuna kupoa hakuna kumbwela
9dec tukutane.
 
Kwa mfuatano huu..unaweza kudhani kuna lolote jeshi watafanya..? hiyo ni ndoto ya mchana..
Tufanye wewe ndio mkunda umezungukwa na watu hawa, ungefanya nini..?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
6. Chief of Defence intelligence Mbaraka Mkeremy
7. Chief of Staff Salum Haji Othman
 
Mtanzania anahusika vipi na NATO? Mbona mnakuwa wepesi sana kudanganyika jamani, huku mange, huku Maria, mara upande huu Sativa na sasa kaja kichaa mpya.
 
Father Ni muda sasa sisi kama Gen Z tuwe na jeshi letu. Hatuoni umuhimu wa kuwa na jwtz. Kuna vijana wengi mno wamepitia jkt na wapo mtaani.

Ni maoni yangu kuwq wapewe siraha tuwe tunajirinda wenyewe. Hili jeshi la ccm libadirisjwe jina kabisa liwe JC(Jeshi la CCM)


Kuendelea kujiita jwtz ni kututukana watanzania matusi ya nguoni.

Sio kwamba jeshi hili tulikuwa hatulipendi la hasha lakini heshima na thamani yao kwa wananchi wameipoteza na kuinyea wenyewe kwa kukubali vipande vya fedha!

Kama kweli waliapa kulinda katiba je ni katiba ipi wanayoilinda leo hii?

Kama kweli waliapa kulinda mipaka ya nchi je ni mipaka gani wanayolinda leo hii kama Samia alisema mbele yao kuwa walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi na sio watanzania maana hiyo Jeshi halilindi mipaka yake tena.

Kama raia wa nchi jirani anapita mpakani na kuingia nchi jirani kufanya vurugu na uharibifu hadi hapo tuna jeshi sasa? Achilia mbali wale wadunguaji nao inasemekana walitoka Uganda na Zanzibar.


Nikusema hakuna kazi linafanya hadi sasa.
Jeshi lipo shap kushughulikia mtu aliye vaa sare zao ila haliko tyr kushukika na watekaji haliko tiyari kulinda raia hata wakiuliwa mbele yao ni sawa.

Wazi sasa Gen Z ndo mwenye uchungu na nchi yake na ndo mzalendo No1 kwenye nchi hii na si vinginevyo.

Tuwe na Jeshi la Gen Z na imani nchi itarudi kwenye heshima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…