Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

mbona anaonekana na anasifikA kama mtata hivi... au ndo mikwala
 
Hiyo list yako bila Msaga sumu sijaielewa bado jamaa nasikia ni hatari waimba singeli wenzake wengi amewakalisha wakimzingua
 
Mtu kama Bou Nako najua kabisa yupo vizuri na ni Mtu wa karate tangu zamani na mazoezi sana, so ana technic na pumzi ya kutosha na alishampiga kalapina na mshkaji wake.

Lord eyes pia, hao wengine wa DSM sijui kwakweli
 
Sasa wewe si ushakuwa legend saivi na kitambi?
Sema mzee baba hakuna usilojuaga dar yotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…